Dini zisiwatie upofu na kuwatoa akili maana mnaonekana wapumbavu sana....ita Koleo kwa jina lake na si kijiko kikubwa...halafu ukini quote jadili mada usiniandikie misemo ya "kike" la huwezi pita kimya.Umeguswa pambaya.[emoji16][emoji16][emoji16]
We unafikiri kuna mtu anataka kusikia TAARABU zako mkuu?.Ebu kitulize kwanza.[emoji28]Dini zisiwatie upofu na kuwatoa akili maana mnaonekana wapumbavu sana....ita Koleo kwa jina lake na si kijiko kikubwa...halafu ukini quote jadili mada usiniandikie misemo ya "kike" la huwezi pita kimya.
?bishoo tu huyo.Wakuu Salaam:
Huyu mchezaji kafanya nini mbona maneno mengi sana?
Siyo kwa kudhalilishana huko hadi kupelekwa timu ya vijana!
Inasemekana hizo ndio sababu kwa mujibu wa baadhi ya vyombo vya habari vya uingerezaSina uhakika ila naamini kabisa kua issue inaweza kua ni kwa kutetea haki za wale waislamu wanaoteseka kule China,maana Mchina alipiga mkwala kua kila mechi atakayocheza Ozil wao hawataionyesha kule kwao,na mambo ya Advertisement kwa Ozil,kifupi alichanganya Dini,Siasa pamoja na soka,
Hata national team ya Ujerumani aliondolewa baada ya ile issue yake na raisi wa Uturuki Recey tayyip Erdogan,ikumbukwe kua Ozil ni Mjerumani mwenye asili ya Uturuki.
Siyo kumuuza Bali ku terminate mkataba.Lakini ninachojiuliza Ni kwanini arsenal wasivunje mkataba wa ozil ili waepukane moja kwa moja na matatizo haya, lakini pia kumruhusu ozil kwenda sehemu nyingine
Umeelezea vzr ila kuna changamoto nyengine. Ozil hauziki coz Timu nyingi zinakwepa ile salary package yake.
Basi hii ndiyo sababu ya arsenal kung'ang'ana abaki.Arsenal nao pia wanamuhitaji Ozil Vile vile, sina data za 2020 ila mpaka mwishoni mwa mwaka jana Ozil ndio alikuwa anaongoza Mauzo ya Jezi, Alimpita mpaka Auba. Hivyo hata kama Hachezi anawaingizia Arsenal mpunga Mrefu.
Duh kwa style hii Basi uislamu unapigwa vita SanaHiki ndy kinamtafuna OzilView attachment 1615963