Titus Dickson
Member
- Nov 14, 2016
- 49
- 20
Unaizungumziaje hii Dili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tatzo sio bhangi tatzo anapovutia ndio shida.Alaaniwe aliyegundua bhangi
pogba anacheza vile wameuziwa 100 Ozil tutawauzia 700Hizo ni mind games kuelekea mechi ya Jumamosi pale Ot kati ya Man Utd na Arsenal.
Kamwe Ozil hawezi kusajiliwa na Mourinho pale Man Utd.
Hahahhhahahhpogba anacheza vile wameuziwa 100 Ozil tutawauzia 700
Sasa hapa tuseme ilaaniwe mjani au uzee??.Man U wanaiwinda kwa UDI na uvumba sahihi ya winga hatari Edibily Jonas Lunyamila
Mjani dawa na uzee a.k.a utu uzima dawa.Sasa hapa tuseme ilaaniwe mjani au uzee??.
Ajui mpira anaekaa miaka zaidi ya kumi bila kombe, mou hajawahi kaa zaidi ya miaka mitatu bila kombe loloteMou anahangaika tuu hajui Mpira amechukua mastaa kibao lkn kuwatumis hawezi
KumbeAjui mpira anaekaa miaka zaidi ya kumi bila kombe, mou hajawahi kaa zaidi ya miaka mitatu bila kombe lolote