Mesut Ozil to Manchester United

Mesut Ozil to Manchester United

Hizo ni mind games kuelekea mechi ya Jumamosi pale Ot kati ya Man Utd na Arsenal.

Kamwe Ozil hawezi kusajiliwa na Mourinho pale Man Utd.
 
Henry , overmas fabry,RVP waliuzwa , ozil nani asiuzwe kama hata saini mkataba maana yake anataka kuuzwa
 
Mou anahangaika tuu hajui Mpira amechukua mastaa kibao lkn kuwatumis hawezi
 
Kama Man utd wakimtaka yeyote toka Arsenal awe mchezajo, kocha, bench la ufundi hata mshabiki watamchukua. Arsenal hakuna Wa kumtunishia msuli M.utd
 
Kuamini tetesi ni sawa na kuamini kuwa jpm atalipa limbikizo la nyongeza ya mshahara! endeleeni kusubiri
 
Back
Top Bottom