kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!