Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Mleta mada ona hata aibu unazungumzia ushabiki na pumba hapa.
 
Unajizima data unajua sana hao ndio mada kuu mwigulu kainunua ihefu kisa ilikuwa kikwazo kwa yanga Gsm mpaka leo anamlipa metacha na kuidhamini ihefu black stars!
na Mo ameingia kwasababu simba inaboronga kwasababu haweki Mpunga wa kusajili wachezaji wa viwango vya juu.
 
na Mo ameingia kwasababu simba inaboronga kwasababu haweki Mpunga wa kusajili wachezaji wa viwango vya juu.
Simba hawanunui mechi pesa wamekeza kwenye usajili kumbe kuna mchongo wa marefa na metacha na mwigulu labda tumsanue kwenye hilo!
 
Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .

Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.

Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,

Angalizo; msije na povu kuwa Simba amefungwa na Yanga au Camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa Manara Simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka TFF yenyewe!

View: https://www.youtube.com/watch?v=91y3jyNiE_0
 
Back
Top Bottom