kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Milango ipo wazi kwa Mo Kanjibai kudhamini timu nyingine ,halafu mwambieni TAJIRI janja janja alete wachezaji wa ukweli asiokoteze ,amwage Mpunga ,azizi watu wamewekeza zaidi ya 400m halafu mnataka mshindane na Yanga?Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya tanzania bara kwa kuinunua ihefu na kuigeuza msekure wa yanga kama ilivyokuwa kwa singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa simba amefungwa na yanga au camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa manara simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka Tff yenyewe!
Yuko wapi?Kunywa panadol Extra. Hata manula alipigwa 5.
Jikite kwenye mada Mo anaingiaje!Milango ipo wazi kwa Mo Kanjibai kudhamini timu nyingine ,halafu mwambieni TAJIRI janja janja alete wachezakji wa ukweli asiokoteze ,amwage Mpunga ,azizi watu wamewekaza zaidi ya 400m halafu mnataka mshindane na Yanga?
Soma angalizoukirudi njoo tujadili metacha!Simba mlilipwa shingapi Kufungwa na Yanga ?
Una matatizo wewe si bure, huyo Ping ping angedaka huyo.Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya tanzania bara kwa kuinunua ihefu na kuigeuza msekure wa yanga kama ilivyokuwa kwa singida.
Gsm Mungu anawaona kwa kuharibu ligi kuu kwa kudhamini timu karibu saba,
Angalizo; msije na povu kuwa simba amefungwa na yanga au camara kajisaidia mada ni GSM na biashara ya soka kama anavyoendesha ya magodoro kama aliweza kumtoa manara simba basi kununua Football federation inawezekana sio kwa udhamini wa timu saba mpaka Tff yenyewe!
Ili iweje tuendelee kuangalia mpira mbovu wa kimagahamu hukuona soka la kweli brighton vs liverpool hakuna makando kando!Kunywa panadol Extra. Hata manula alipigwa 5.
GSM na Mwigulu wameingia kwa Metacha? Jikite kwenye mada.Jikite kwenye mada Mo anaingiaje!
Wewe umerogwa ping ping unafananisha na duka la mchaga taka taka kabisa!Una matatizo wewe si bure, huyo Ping ping angedaka huyo.
Usiumie mafanikio ya wenzako, jipangani na nyie mtakua bora kama Yanga, football is a process, kila kitu ingekua ni hela hata Azam na Chelsea kwa pesa walizonazo wamiliki wao wangechukua makombe back to back !Soma angalizoukirudi njoo tujadili metacha!
Unajizima data unajua sana hao ndio mada kuu mwigulu kainunua ihefu kisa ilikuwa kikwazo kwa yanga Gsm mpaka leo anamlipa metacha na kuidhamini ihefu black stars!GSM na Mwigulu wameingia kwa Metacha? Jikite kwenye mada.
Basi hujui mpira kama unaita ile mechi bora!Soka bovu lipo kwa makolo, mechi ya jana ilikuwa bora sana, Singida ile itampiga mtu 3 bila, nimekaa palee.
Wanafanya haki lilah sio magahamu nyuma ya pazia!Usiumie mafanikio ya wenzako, jipangani na nyie mtakua bora kama Yanga, football is a process, kila kitu ingekua ni hela hata Azam na Chelsea kwa pesa walizonazo wamiliki wao wangechukua makombe back to back !