Metacha Mnata ni golikipa kweli?

Simba nae alitutunukia goal jaman GSm raha sanaa kumbee
 
Hakuna mtu alijua au kudhani kwa haraka kuwa Pakome angefyatua shuti kali kufunga (kumbuka alikuwa nje ya Box, angle mbovu ya kujipanga kupiga na mbele yake kuna msitu mpana wa walinzi), hivyo maandalizi ya kipa yalikuwa kutazama miguu na kujiandaa kuruka pembeni ya lango, badala yake kombora likaja juu, moja kwa moja na hata hakujua ni saa ngapi limefyatuliwa.

Kipa yoyote angeweza kufungwa pale. Mpe hongera mfungaji.
 
Tumpe hongera kipa!
 
Bahati nzuri hata Camara alinunuliwa akapigwa kimoja hicho hicho
 
Kama uliangalia vyema, kipindi cha pili msemaji wa SBS alikuwa anaongea kitu na injinia...

Binafsi baada ya kuona vile nilijiongeza.
 
Lile goli lilifungwa kiufundi zaidi hata ungekuwa wewe goli kipa ungefungwa tu...kipa hakutarajia Pakome angepiga shuti kwa maeneo yale...Nampongeza kipa kwa kuacha mpira uingie nyavuni angejaribu kuufata leo angekuwa kwenye chumba cha kuifadhia maiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…