mrengo wa kushoto
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 100
- 185
Kama tunavyojua Mark Zuckerberg alikuja na wazo la Facebook, Social media na kuwa peoneer katika ulimwengu wa SOCIAL MEDIA na huwezi kuongelea historia yake bila kutaja jina lake tunaweza kumuita THE FATHER OF SOCIAL MEDIA.
Miaka ya hivi karibuni amekuja na wazo la "METAVERSE" Nakuwekeza sehemu kubwa ya utajiri wake mpaka kubadili jina la kampuni yake mashuhuri ya FACEBOOK nakuiita META akiamini kuwa kitakuwa kitu kikubwa kitakacha badilisha jinsi watu wanavyo wasiliana na kukutana.
METAVERSE ni app ambayo imetengenezwa kama DUNIA ya kidijitali..muonekano na hisia ya MUDA (time) na NAFSI (au ukaribu wa mambo na vitu) (space) iko kama katika dunia ya kweli (real world) na muingiliano wa watu na vitu kwakusikia na kuona kama ilivyo dunia ya kweli, wengi wakitumia AVATARS kuwapresent wao hata kununua kiwanja na kujenga nyumba au duka ambali litafunction kama duka halisi duniani nakukuingizia faida etc. Huku ikitumia mifumo yote ya AR (Argumente Reality) na VR (Visual Reality).
Unaweza kwenda kupiga story na kunywa chai Biden marekani, lunch na Mackron Ufaransa mchana, huku Diner ukimalizia na KimJong Un wa North korea jioni Huku mwili wako ukiwa umekaa kwenye chumba kimoja ulichopanga Tegeta nyuki au buza kwa mama Kibonge.
Kwenye makaratasi METERVESE ilitakiwa kubadili jinsi tunavyo interact (ingiliana) na watu ulimwenguni..
Lakini fast foward muda kidogo.
Mark Zuckerberg na kampuni tanzu ya META wamepoteza mabilioni, SHARES zake zikidondoka kwa kasi huku mwenendo mzima wa mambo ukimlazimisha kuachana na ndoto yake.
Je??..Apiganie ndoto wakati kila kitu kikiwa dhidi yako, aachane na ndoto hiyo na kudeal na core activities za facebook au arudi shambani kulima aachane na mambo ya mjini😃😃