Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Qeep siwezi kusahau magemu yale yanaongeza umaarufu wakoMig33, moco, numbuzz, qeep messenger, yahoo messanger, kitambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Qeep siwezi kusahau magemu yale yanaongeza umaarufu wakoMig33, moco, numbuzz, qeep messenger, yahoo messanger, kitambo sana
Chatgpt ni nani yupo nyuma yakeMicrosoft anawamwagia dollar billion 10 halafu anakwenda kuiinteract na bing search engine halafu na wao wanakuja na paid version ya chatgpt. Hii trial version wanadai inawagharimu dollar milliom 3 kwa siku kwa hizo searches ambazo tunafanya bure
Open Ai, wakat inaanza watu wa mwanzo kuwekeza na walikuwa kwenye bodi pia na elon musk alikuwemo ila alijitoa 2018 kufocus kwenye tesla.Chatgpt ni nani yupo nyuma yake
Kuna movie ilitoka mwaka 2019 niliona inaitwa Jexie...nilijua ni story to science fiction, but chatgpt inafanya kazi kama jexie..maajabu, baada ya miaka kumi sijui itatokea nini...jana nimeiuliza kwanini watu wanaichukia Metaverse???ikanipa majibu ambayo google nilikosaOpen Ai, wakat inaanza watu wa mwanzo kuwekeza na walikuwa kwenye bodi pia na elon musk alikuwemo ila alijitoa 2018 kufocus kwenye tesla.
Google ana version yake inaitwa Lamda ambayo wanadai ni kali ina work sawa kama chatgpt lakini aligona kuiachia akihofia inaweza kutoa majibu ya chuki, uongo n.k na hivyo kuharibu jina na biashara yake na pia kumletea kesi.Kuna movie ilitoka mwaka 2019 niliona inaitwa Jexie...nilijua ni story to science fiction, but chatgpt inafanya kazi kama jexie..maajabu, baada ya miaka kumi sijui itatokea nini...jana nimeiuliza kwanini watu wanaichukia Metaverse???ikanipa majibu ambayo google nilikosa
Kuna maajabu mengi yanakuja mkuu. Sasa hivi wanakusanya data za kutrain ai hadi za lugha za wagogo, wahehe, kihaya, yani kugha zote na hao ni wamarekani.Chatgpt hata iwe ya kulipia nitalipia tu, kitu adimu sana kile.
Jana CEO wa Google kasema chatgpt inahatarisha usalama wa Google coz watu wanahama Google kwa kasi,.Google ana version yake inaitwa Lamda ambayo wanadai ni kali ina work sawa kama chatgpt lakini aligona kuiachia akihofia inaweza kutoa majibu ya chuki, uongo n.k na hivyo kuharibu jina na biashara yake na pia kumletea kesi.
Sasa baada ya chatgpt sijui ayaiachia. Na ilikuwa tayari kuachiliwa mapema.
Sema leo nimesoma mahali kuwa njia wakiyotumia Open Ai kuachia chagpt ilimeipa hype, badala ya kuachikia kwa technicians ndo waiajribu, wakaiachia kwa umma
And 3 au 4 weeks ago walifanya kikao cha dharura kuangalia kama ni tishio kwao.Jana CEO wa Google kasema chatgpt inahatarisha usalama wa Google coz watu wanahama Google kwa kasi,.
Kuna mdau humuhumu alisema aliuliza chatgpt kama inaweza kiswahili ikakataa ikasema imedizainiwa kuongea English tu, juzi nimechat nayo kwa kiswahili vizuri tu, means kila siku inakua mpyaKuna maajabu mengi yanakuja mkuu. Sasa hivi wanakusanya data za kutrain ai hadi za lugha za wagogo, wahehe, kihaya, yani kugha zote na hao ni wamarekani.
Wanachoenda kutengeneza sijui ni kitu gani mkuu na balaa yani. Na wanatumia maela kufanya hivyo
Hata mimi nishachat nayo kwa kiswhaki japo kiswahiki chake kilikuwa kibovu bovu. Nliiambiwa iniandikie cv kwa kiswahili piaKuna mdau humuhumu alisema aliuliza chatgpt kama inaweza kiswahili ikakataa ikasema imedizainiwa kuongea English tu, juzi nimechat nayo kwa kiswahili vizuri tu, means kila siku inakua mpya
Sure itakua nimechelewa kuona.,,Google watafanyaje??maana matangazo ndio biashara yao,,unadhani kwa namna gani LAMDA itakua free kama chatgpt wakati huo huo wanatengeneza faida??And 3 au 4 weeks ago walifanya kikao cha dharura kuangalia kama ni tishio kwao.
Nadhani imefika muda sasa wa mabadiliko ya jinsi taarifa zinavyotafutwa na kushirikiwa.
Hii itabadili kila kitu hata blogging.
Watainteract kwenye products zao hata kikao chao hicho ndivyo walifikia hitimisho la kutumia ai kwa sana prodúcts zao.Sure itakua nimechelewa kuona.,,Google watafanyaje??maana matangazo ndio biashara yao,,unadhani kwa namna gani LAMDA itakua free kama chatgpt wakati huo huo wanatengeneza faida??
Platform ya gamesNaomba mnifahamishe juu ya Roblox
Dah! Nimbuzz kitambo sana.Mig33, moco, numbuzz, qeep messenger, yahoo messanger, kitambo sana
Kwakweli....Nabado ndo inakua nadhani itabadili matumizi ya internet kama tunavyo yajua leo....Habari ya mjini ni ChatGPT kwa sasa.
Well...ikiwa paid ndo itakuwa na growth ndogo sanaaa..Microsoft anawamwagia dollar billion 10 halafu anakwenda kuiinteract na bing search engine halafu na wao wanakuja na paid version ya chatgpt. Hii trial version wanadai inawagharimu dollar milliom 3 kwa siku kwa hizo searches ambazo tunafanya bure
Shida wanakwambia kuwa kila siku wanatumia dollar mls 3 kwa hizo searches watu wanazofanya bureWell...ikiwa paid ndo itakuwa na growth ndogo sanaaa..
Bill Gates sikuzote anajua kuharibu tu huku akijionyesha anajali kwambele..