Mexico yafuata Mfano wa Samia, yazindua Bima ya Afya kwa wote

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure

1776319707234.png

My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kupongeza. 😂😂

View: https://www.threads.com/@shukranimpomwa/post/DXMR0YTDUNX?xmt=AQF0k_hNbC_39QvfgNKkiLeR4Gypdqrt3HUu79eitixbReU3LpyQOtnVSjiHbDoubiFat1ui&slof=1

Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita
 
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure

View: https://www.threads.com/@nazakat_ali_khowaja/post/DXLVuUMiBVQ?xmt=AQF0GfiuNRatpbPdqzTvRro2o439M1aEs4cQkUZNEJABy-GZAR1wMRYmriRGuvAV7_Ji1C8_&slof=1

My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. 😂😂

Screenshot_20260415-144632~2.png
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Mama ndio mgunduzi na muanzilishi wa bima ya afya kwa wote duniani. According to him
Huyu jamaa michosho sana, sijawahi kuelewa ni kijana au ni wale wazee wa TBC maana content zake za mama yake anozabandika humu jukwaani kila siku ni zile propaganda za 90s ambapo watu hawakuwa na TV na social media.
 
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure

View: https://www.threads.com/@nazakat_ali_khowaja/post/DXLVuUMiBVQ?xmt=AQF0GfiuNRatpbPdqzTvRro2o439M1aEs4cQkUZNEJABy-GZAR1wMRYmriRGuvAV7_Ji1C8_&slof=1

My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. 😂😂

Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita

Hakika Tanzania chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan,
imekua darasa na shule muhimu sana ya maendeleo na mageuzi ya kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa Africa na dunia nzima.
 
Hivi kwa akili ya samuya ilivyo kuna chochote cha maana cha kuiga kutoka kwake kweli??, kuwa serious kdg mkuu!
Tufanye mara paap imetokea unafanya mtihani umekaa chumba/meza jirani na samuya...utathubutu kumuigilizia??
Zero nje nje!!.
 
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure

My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. 😂😂

Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita
Tuwekee kadi za wanufaika wa hiyo bima ya afya kwa wote kwenye hii mada yako ili tuamini ulichoandika. Ikiwezekana tuwekee hata za ndugu zako wa kule kijijini.
 
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure

My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. 😂😂

Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita
Imagine kwa mentality hizi za uchawa halaf mtegemee mna watu wa kuwaletea maendeleo? Never, chawa hufanya mamb kwaajili ya tumbo lake hata akipata madaraka its bout tumbo lake tuu!!!
 
Maendeleo unayaona au huyaoni?
 
Back
Top Bottom