Mexico yafuata Mfano wa Samia, yazindua Bima ya Afya kwa wote

Mexico yafuata Mfano wa Samia, yazindua Bima ya Afya kwa wote

Hili lichawa linalojiita Chawa-Variable limejaa uongo na uzandiki

Hii bima ambayo duniani inajulikakana kama UHC , hapo Tanzania haitekelezeki maana hakuna funds za kuendesha huo mfuko kama bima ya taifa walioiua ndio hii hadi ilikua inapitisha data feki za wanaume kuandikiwa kuwa walifanyiwa caesarean section na hakuna hatua zilizochukuliwa hadi mfuko huu uko hoi sioni namna gani mtu anapika propaganda za UHC ambayo haiwezi kutekelezeka.
20260416_013254.jpg
 
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure



My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. 😂😂

Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita
Wasiwe wameiga Obama Care waamuige huyo muuaji? Hapa labda waige wizi wa kura.
 
Back
Top Bottom