ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Huyu jamaa ni kiazi haswa, anaweka mambo ya mama yake hapa jukwaani kama anatapika tu.Hiyo bima ya afya kwa wote wewe unayo?
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure
View: https://www.threads.com/@nazakat_ali_khowaja/post/DXLVuUMiBVQ?xmt=AQF0GfiuNRatpbPdqzTvRro2o439M1aEs4cQkUZNEJABy-GZAR1wMRYmriRGuvAV7_Ji1C8_&slof=1
My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. ππ
Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita
Tuelekezeni na sisi hizo Bima zinakotolewa tukachukue π³ !Hiyo bima ya afya kwa wote wewe unayo?
Mama ndio mgunduzi na muanzilishi wa bima ya afya kwa wote duniani. According to himHuyu jamaa ni kiazi haswa, anaweka mambo ya mama yake hapa jukwaani kama anatapika tu.
Huyu jamaa michosho sana, sijawahi kuelewa ni kijana au ni wale wazee wa TBC maana content zake za mama yake anozabandika humu jukwaani kila siku ni zile propaganda za 90s ambapo watu hawakuwa na TV na social media.Mama ndio mgunduzi na muanzilishi wa bima ya afya kwa wote duniani. According to him
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure
View: https://www.threads.com/@nazakat_ali_khowaja/post/DXLVuUMiBVQ?xmt=AQF0GfiuNRatpbPdqzTvRro2o439M1aEs4cQkUZNEJABy-GZAR1wMRYmriRGuvAV7_Ji1C8_&slof=1
My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. ππ
Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita
Aitoe wapi?? Yeye sio wote, wanapewa WOTE tu.. Huyo ni mwehu alokosea njia.Hiyo bima ya afya kwa wote wewe unayo?
Tuwekee kadi za wanufaika wa hiyo bima ya afya kwa wote kwenye hii mada yako ili tuamini ulichoandika. Ikiwezekana tuwekee hata za ndugu zako wa kule kijijini.Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure
My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. ππ
Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita
Hiyo bima ya afya kwa wote wewe unayo?
NdioHiyo bima ya afya kwa wote wewe unayo?
Imagine kwa mentality hizi za uchawa halaf mtegemee mna watu wa kuwaletea maendeleo? Never, chawa hufanya mamb kwaajili ya tumbo lake hata akipata madaraka its bout tumbo lake tuu!!!Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure | JamiiForums Ndani ya siku 100 SSH atimiza ahadi ya kuanzisha Bima ya Afya kwa wote. Vigelegele vyasikika kwa Wananchi wakipewa kadi za matibabu bure
My Take
Cha ajabu Machadema wataanza kutukana mambo ya maendeleo badala ya kuponheza. ππ
Soma zaidi hapa (1) Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita | JamiiForums Bima ya Afya kwa wote UHIF: Hatimaye Rais Samia atekeleza mfupa mgumu uliowashinda Marais waliopita
Maendeleo unayaona au huyaoni?Imagine kwa mentality hizi za uchawa halaf mtegemee mna watu wa kuwaletea maendeleo? Never, chawa hufanya mamb kwaajili ya tumbo lake hata akipata madaraka its bout tumbo lake tuu!!!