Mexico yafuata Mfano wa Samia, yazindua Bima ya Afya kwa wote

Hili lichawa linalojiita Chawa-Variable limejaa uongo na uzandiki

Hii bima ambayo duniani inajulikakana kama UHC , hapo Tanzania haitekelezeki maana hakuna funds za kuendesha huo mfuko kama bima ya taifa walioiua ndio hii hadi ilikua inapitisha data feki za wanaume kuandikiwa kuwa walifanyiwa caesarean section na hakuna hatua zilizochukuliwa hadi mfuko huu uko hoi sioni namna gani mtu anapika propaganda za UHC ambayo haiwezi kutekelezeka.
 
Wasiwe wameiga Obama Care waamuige huyo muuaji? Hapa labda waige wizi wa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…