Alipewa vitisho akaamua kuachana na ile kesiNilisema muda mrefu hao watu ni wa kupiga viberiti tu. Halafu na ww meya Jacob lile sakata lako na bashite tume ya maadili liliishia wapi?
Ahaàaaaaaa umenkumbushaaaaaa ktuuuuuuuu!!!Nadhani wanatumia sare za jeshi na siyo jeshi >tukio la uvamizi wa Clouds Media kulikuwa na sare za jeshi.
Polisi tunawasingizia mengi tu...janga la Tanzania niidara yetu inayojiita Usalama wa Taifa kumbe kiuhalisia ni Usalama wa CCM...kwanini Polisi hawakwenda nyumbani kwa Mstahiki Meya Jacob na kukabiliana na hao waliovamia na kufanya upekuzi?
Amesema yy hakuwepo ,,Halafu meya Jacob ulishindwa kweli kuwapigia simu majirani zako wafike nyumbani kujua kulikoni kwa hilo kundi la wahuni? Toka lini wanajeshi wakakagua nyumba za raia tena bila kibali wala kufuata taratibu za kisheria?
kwani za nyumbani kwa lissu ulitumiwa?Cctv za nyumbani kwake zinaonyeshaje? atutumie clip ndogo
Ulinzi wa zitto unamtosha...usicheze na tunguli za kigomaLakini na viongozi wa cdm mnadhangaza sana kwa hwli hii mliyonayo mnaacha kufunga security camera kweli majumbani kwenu? Mnashindwa kuwaelimisha familia zenu kuhusu hali mnayoipitia kwahiyo wakae kwa tahadhali kila mara?
Itanishangaza nikisikia hayo mambo kwa kina Zitto nae halafu hajaweka ulinzi wowote wakati ni mmoja wa target ya kina bashite
Mm mbona nais ni wale wa mawingu TV kipnd kileeee si walikua wamevaaa ivyo ivyo?Walivalia.. hakuona vitambulisho
Inaweza wakawa wenzake wa Chadema kwa asilimia kubwaaaa...
dawa ya makrikiri ni kuwapigia kelele za mwizi wapigwe kibiriti. watashisha akili. na akigonga mtu mlangoni usiku usifungue hata kama ni jirani anataka gari ampeleke mke wake hospitali kujifungua. hapa ndo tulipofikia.An intelligent guess would be "Hawa ndio walio kauga mawingu station na kuwapiga mitama wale wambea"
JWTZ wana taratibu zao na wakague nyumba ya meya ya nini!?!?
Hizo sare za jeshi ni zile wanazo vaa wazee wa ununio!
Hata Ukiangalia trend ya matukio, hii ndio staili yao ya kufanya uhalifu.
Suspects
1-mzee wa tezi dume
2-branch within a branch huko ununio.
Kuna mawili either kuna jambo unalifanya linatishia interest zao au wanataka kuku intimidate tu ili uhamie airtel!