Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

Meya Jacob: Nimetoa taarifa Polisi juu ya watu waolivalia sare za JWTZ na walichokifanya nyumbani kwangu

Tatizo huyu Meya wetu nae saa nyingine naonaga km ana mbwembwe sn. Sijaelewa alipata taarifa wakat wameshaondoka au bado wakiwa wanaendelea na zoezi,majirani walisaidia nini sasa wakati watu wameingia na kutoka bila wao kupiga hata picha za ushahidi
 
Nikweli kabisa mnaishije kma kuku WA kienyeji!!! Nahali yenyewe mnaijuwa?HV bado mnafanya utani nawasiojulikana!?b serious guyz.
 
Nilisema muda mrefu hao watu ni wa kupiga viberiti tu. Halafu na ww meya Jacob lile sakata lako na bashite tume ya maadili liliishia wapi?
Alipewa vitisho akaamua kuachana na ile kesi
 
Ngoja kidogo niwape somo ukiwa humu unatakiwa ubadilike usije humu na akili zako za facebook
Kila taarifa ni lazima uifanyie kazi
Nanukuu, nyumbani kwangu nimevamiwa na watu watatu wamevaa sare za kijeshi na wana camera wanapekua kila kona ya nyumba na mm mwenyewe nipo njiani naelekea huko,
Mwisho wa kunukuu,
Ajapiga sim polisi kutoa taarifa
Musiba anasema pale Chadema kuna kikundi cha hatari kinaitwa Tume na kiongozi wake ni Meya jacub hiki kikundi ni hatari kwa usalama wa nchi( meya ajakanusha,
hivi sasa nchi inakabiliwa na vitendo vingi sana vya uwalifu unashangaa nini ukisikia jeshi la jwtz linatumika kuongeza nguvu kukabiliana na uwalifu
Mkae mkijua kabisa musiba alopoki kauli zake zinafanyiwa kazi.
 
..kwanini Polisi hawakwenda nyumbani kwa Mstahiki Meya Jacob na kukabiliana na hao waliovamia na kufanya upekuzi?
Polisi tunawasingizia mengi tu...janga la Tanzania niidara yetu inayojiita Usalama wa Taifa kumbe kiuhalisia ni Usalama wa CCM.
 
Halafu meya Jacob ulishindwa kweli kuwapigia simu majirani zako wafike nyumbani kujua kulikoni kwa hilo kundi la wahuni? Toka lini wanajeshi wakakagua nyumba za raia tena bila kibali wala kufuata taratibu za kisheria?
Amesema yy hakuwepo ,,
 
ndo tulikofikia, nadhan tunahitaj kujitafakari upya kwa tz tuko salama na Mali zetu kwa kiasi gan? km vyombo vya ulinzi vinatuthibitishia kila ck kwmb hakuna shda tz then nan anayafanya haya?????
 
Lakini na viongozi wa cdm mnadhangaza sana kwa hwli hii mliyonayo mnaacha kufunga security camera kweli majumbani kwenu? Mnashindwa kuwaelimisha familia zenu kuhusu hali mnayoipitia kwahiyo wakae kwa tahadhali kila mara?
Itanishangaza nikisikia hayo mambo kwa kina Zitto nae halafu hajaweka ulinzi wowote wakati ni mmoja wa target ya kina bashite
Ulinzi wa zitto unamtosha...usicheze na tunguli za kigoma
 
Boniface Yale mateso uliyompa yule mlinzi wa Dr Slaa Khalid Kagenzi pale ofisi za ufipa mlikuwa mnatumia sheria zipi? Usikute hao ni miongoni mwa maadui zako uliojitengenezea
images (4).jpg
 
An intelligent guess would be "Hawa ndio walio kauga mawingu station na kuwapiga mitama wale wambea"

JWTZ wana taratibu zao na wakague nyumba ya meya ya nini!?!?

Hizo sare za jeshi ni zile wanazo vaa wazee wa ununio!

Hata Ukiangalia trend ya matukio, hii ndio staili yao ya kufanya uhalifu.

Suspects
1-mzee wa tezi dume
2-branch within a branch huko ununio.

Kuna mawili either kuna jambo unalifanya linatishia interest zao au wanataka kuku intimidate tu ili uhamie airtel!
dawa ya makrikiri ni kuwapigia kelele za mwizi wapigwe kibiriti. watashisha akili. na akigonga mtu mlangoni usiku usifungue hata kama ni jirani anataka gari ampeleke mke wake hospitali kujifungua. hapa ndo tulipofikia.
 
Kila mbinu kuchafuana mradi mdomo ufike kinywani
 
Mkuu lile sakata la vyeti vya Bashite kumpeleka mahakamani liliishaje? Tuliona ghafla kimyaa
 
Huyu Meya anafanya mambo ya ajabu sana; anaaibisha wadhifa wa umeya,

Kama mtu wa mtaani kumbe ni meya
 
Back
Top Bottom