The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
“Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John Mongela, Kennani Kihongozi hata mimi hayuko sawa na mimi” Maximilian Iranqhe - MEYA JIJI LA ARUSHA.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3317260
Wee nyau mikono yako imejaa damu. Damu ya Thadei ole Mushi inakulilia.Apigiweee apigweeee
Mkuuu, hili ni swali zuri saana aiseeWaandishi wa habari maswali yao ya hovyo sana, sasa unawezaje kuuliza kati ya Makonda na Gambo nani mgomvi.
Hayo ni maswali ambayo tunaulizana huku mtaani.Mkuuu, hili ni swali zuri saana aisee
Kwa nini sasa kaomba radhi bungeni baada ya kuambiwa aende mbele ya kamati ya maadili kuonesha huo ufisadi na uongo wa waziri?Kwa kauli hizi, inathibitisha wazi kabisa kwamba Mbunge wa Arusha Bw. Mrisho Gambo atakuwa amekuwa akiwabana Sana hawa Watu kwenye madili yao haramu ya Ufisadi.
Japokuwa Mimi binafsi siwakubali hawa Watu wote wawili, Gambo na Paul Makonda, lakini kutokana na hizo kauli zao inaonyesha wazi kabisa kwamba hawa Watu Wana ajenda zao za Siri zilizofichwa nyuma ya pazia.
Hawa wote wamekutana ni wapuuzi na upuuzi wao wanauthibisha hadharani kwani wangeweza kuitana kwenye vikao lakini wanaviziana kuaibishana kenye mikutano ya hadhara.“Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John Mongela, Kennani Kihongozi hata mimi hayuko sawa na mimi” Maximilian Iranqhe - MEYA JIJI LA ARUSHA.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3317260
Kwa nini sasa kaomba radhi bungeni baada ya kuambiwa aende mbele ya kamati ya maadili kuonesha huo ufisadi na uongo wa waziri?
Kama hawezi mapambano akae kimya sasa anajidhalilisha tu!Ukisoma vizuri na kwa umakini hiyo comment yangu uliyonukuu utaweza kunielewa vizuri. Nimesema kwamba Mitandao ya Wapiga madili ya Ufisadi yana mtandao wao mkubwa sana. Elewa maana ya 'kuwa na Mtandao mkubwa sana!'
Kama hawezi mapambano akae kimya sasa anajidhalilisha tu!
Gambo kaomba radhi kwa woga wa kuikabili kamati kwa sababu wote wanaokwenda huko wanaangukia pua, lazima Kamati itaegemea upande wa Serikali tu kama ilivyokuwa kwenye sakata la Bashe na Luhaga Mpina, na pia kumbuka kupambana na mkwe wa Rais ni kujiweka katika mazingira magumu kuelekea mchakato wa kupitisha majina ya wagombea Ubunge.Kwa nini sasa kaomba radhi bungeni baada ya kuambiwa aende mbele ya kamati ya maadili kuonesha huo ufisadi na uongo wa waziri?