Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Ni mbinu za kumuondoa kwenye ubunge hili makonda apate. Yaani makonda ni bingwa wa kunyakuwa na kunyang'anya wenzake baraka
Itakuwa wananchi ndio wenye shida kwa sababu anawakilisha jamii- gambo kwa imani yake atapata shida sana Arusha. Arusha haijawahi kuwa na mbunge kama Gambo, ndio kwanza huyuBasi gambo ndio mwenye shida
Makonda ni mtaalamu wa kufitinisha wenzake kwa viongozi kama alivyowafanyia January Makamba na Nape Nnauye wakamwagwa kwa mara ya pili kwenye uwaziri, huyu bwege mikosi kweli kweli, ogopa mtu ambaye yuko tayari kufanya au kufanywa chochote ili apate anachotaka.Ni mbinu za kumuondoa kwenye ubunge hili makonda apate. Yaani makonda ni bingwa wa kunyakuwa na kunyang'anya wenzake baraka
Abdulrahman Kinana wa imani hiyo hiyo aliwahi kuwa mbunge wa Arusha. Malaria 2 una karama ya upotoshaji ili kukidhi mtazamo wa imani yako.Itakuwa wananchi ndio wenye shida kwa sababu anawakilisha jamii- gambo kwa imani yake atapata shida sana Arusha. Arusha haijawahi kuwa na mbunge kama Gambo, ndio kwanza huyu.
Mkuu, mbona swali limenyooka au unataka muandishi wa habari azungukezunguke kuuliza maswali yake?Waandishi wa habari maswali yao ya hovyo sana, sasa unawezaje kuuliza kati ya Makonda na Gambo nani mgomvi.
Kaingiaje hapa huyo Mtu hapa
Huenda kweli wanamwonea..Kwa kauli hizi, inathibitisha wazi kabisa kwamba Mbunge wa Arusha Mjini Bw. Mrisho Gambo atakuwa amekuwa akiwabana Sana hawa Watu kwenye madili yao haramu ya Ufisadi.
Japokuwa Mimi binafsi siwakubali hawa Watu wote wawili, Gambo na Paul Makonda, lakini kutokana na hizo kauli zao inaonyesha wazi kabisa kwamba hawa Watu Wana ajenda zao za Siri zilizofichwa nyuma ya pazia. Kwa kawaida kwenye Ofisi nyingi sana za Umma (Ofisi za Serikali) yule mtu ambaye anapinga Ufisadi, mfichua maovu au asiyetaka kuungana na Magenge haramu ya Wapiga madili huwa anahesabika kuwa ni Mtu mkorofi, mtu mgomvi, Mtu asiyekuwa na ushirikiano na wenzake, n.k. Watu wa namna hii kwa kawaida huwa wanabambikiwa tuhuma mbalimbali za uwongo na kuwapachika au kuwa-brand Majina mabaya mabaya ili waonekane kuwa ni Watu wasiofaa mbele ya Jamii. Hii ni kawaida kabisa kutokea huko kwenye Ofisi za Serikali. Ni Ugomvi wa maslahi binafsi!
Mrisho Gambo awe makini Sana kwenye Mgogoro huu, asipokuwa mwangalifu anaweza akahujumiwa hata kwa kuwekewa sumu. Magenge ya Wahalifu Wapiga Madili kwenye Ofisi za Serikali huwa yanakuwa yana nguvu kubwa sana, pia huwa yanakuwa na mitandao mikubwa Sana ya Watu.
Siyo Watu wote kabisa wanaomchukia Marehemu Rais Magufuli walikuwa Watu Wasafi, la hasha, kundi kubwa zaidi la Watumishi wa Umma ambao wamekuwa wakimchukia JPM hasa ni wale Wahalifu, Mafisadi, wezi na wapiga madili ya Ufisadi ambao walizigeuza Ofisi za Umma kuwa Pango la Walanguzi!
Gambo ana shida sn ya kusocialize na wenzake ktk MASWALA ya Kazi
Na Hii nmemchunguza pia tangu akiwa DC kule Tanga, DC Arusha, rc Arusha Hadi Sasa ni mbunge Arusha.
1. Kule Tanga nadhan aliwai pia kupelekewa mahakamani baada ya kumchafua hadharani kua ana degree ya chupi.
2. Akiwa DC Arusha, Nako vile vile ugomvi na madiwani WA Arusha pamoja na watumishi hauishi.
3. Akiwa rc ndo KABISAA Kuna kipind kagombana na madc watano mkoa mzima, Kisha kagombana na ded Arusha, Bado madiwani n.k
4. Sahivi ni mbunge, Ila unaona kabisa hakuna diwani ata mmoja anasimama na yeye, Hadi inafikia hatua Baraza la madiwani wanakuwekea maazimio mbunge hawakutaki, ujue Wewe ndo unayo shida.
Pumbavu mwenyewe mangi uchwara. Kifo chako kitakuwa cha taratibu na uchungu mkali huku umepanua miguu.Kaingiaje hapa huyo Mtu hapa
Pumbavu wewee
Huwezi kua unagombana na madiwani Kila unapokwenda afu tukahitimisha kua wao ndo Wana kukosea Wewe TU Kila siku. Afu WA chama kimoja.Umefanya Hast Generalization kuhusiana na suala la tuhuma za huyo Mtu. Kila tuhuma ni lazima ifafanuliwe kwa kina na kwa upekee wake ili kuweza kufikia Uamuzi wa HAKI dhidi ya huyo mtu. Fabricated allegations kama hizo hazina mashiko hata kidogo mbele za Watu wenye akili timamu sawa sawa.
Yawezekana ni kweli kwamba huyo Mrisho Gambo ana matatizo yake, lakini kutokana na tuhuma za hawa Watu wanaomtuhumu jinsi zilivyo, kuna mashaka ya Wazi juu ya tuhuma zao. May be kuna Nia Ovu dhidi ya Gambo.
Mkuu, ameona isiwe taabu, bora yaishe maana bado ajira na ujira upo pale pale.Kwa nini sasa kaomba radhi bungeni baada ya kuambiwa aende mbele ya kamati ya maadili kuonesha huo ufisadi na uongo wa waziri?
Mkuu, hata mimi huwa najiuliza jambo hilo! "Hivi ni kwa nini Arusha tu"? Ebu ujuvi tupeni visababishi vya hali hii.Huwezi kua unagombana na madiwani Kila unapokwenda afu tukahitimisha kua wao ndo Wana kukosea Wewe TU Kila siku. Afu WA chama kimoja.
Kipind akiwa DC au rc labda tungesema MASWALA ya uwajibikaji.
Ila Hadi ktk stage ya ubunge, this is too much na Ni kitu Cha ajabu mno.
Bunge letu Lina wabunge zaid ya 300, Zunguka Tanzania nzima, ntaftie mbunge Hata mmoja WA CCM uliesikia anaazimiwa na madiwani wa chama chake hawamtaki.
Utagundua ni Arusha tu Kwa Gambo.
YY MWENYEWE ALIKUWA MWIZI NDIO MAANA MUNGU HAKUMLINDA. UNAONA TRAORE ANAVYOWINDWA NA HAWAMPATI KWANI MUNGU ANAMLINDAKupambana na Magenge ya Wapiga madili ya Ufisadi katika Ofisi za Serikali ni kazi ngumu Sana, tena ni kazi yenye hatari kubwa sana kupita kiasi. JPM yuko wapi leo hii??
JPM enzi za Utawala wake akiwa bado yupo hai, mara kwa mara alisikika akilalamika Sana kwamba "waTanzania mniombee, kuna Watu wanaona kuwa Mimi ninakwamisha mambo yao." Usifikiri kwamba malalamiko haya ya Rais JPM yalikuwa ni ya uwongo, yana Ukweli kwa kiasi kikubwa Sana.
Mkuu, nadhani aliwahi kukwaruzana na Ndugu Lema (aliyewahi kwa MP wa Arusha) ugovi juu ya ufunguzi/ujenzi wa hospitali.Gambo ana shida sn ya kusocialize na wenzake ktk MASWALA ya Kazi
Na Hii nmemchunguza pia tangu akiwa DC kule Tanga, DC Arusha, rc Arusha Hadi Sasa ni mbunge Arusha.
1. Kule Tanga nadhan aliwai pia kupelekewa mahakamani baada ya kumchafua hadharani kua ana degree ya chupi.
2. Akiwa DC Arusha, Nako vile vile ugomvi na madiwani WA Arusha pamoja na watumishi hauishi.
3. Akiwa rc ndo KABISAA Kuna kipind kagombana na madc watano mkoa mzima, Kisha kagombana na ded Arusha, Bado madiwani n.k
4. Sahivi ni mbunge, Ila unaona kabisa hakuna diwani ata mmoja anasimama na yeye, Hadi inafikia hatua Baraza la madiwani wanakuwekea maazimio mbunge hawakutaki, ujue Wewe ndo unayo shida.
Sasa hivi Lema anamwonea huruma jinsi gambo anavyopelekwa mchakamchaka na makonda, hapo wamekutana shetani kwa shetani mmamae!Mkuu, nadhani aliwahi kukwaruzana na Ndugu Lema (aliyewahi kwa MP wa Arusha) ugovi juu ya ufunguzi/ujenzi wa hospitali.