PreGE2025 Meya jiji la Arusha: Mrisho Gambo ndiye anayemchokoza Makonda, ni mgomvi kwa kila mtu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Basi gambo ndio mwenye shida
Itakuwa wananchi ndio wenye shida kwa sababu anawakilisha jamii- gambo kwa imani yake atapata shida sana Arusha. Arusha haijawahi kuwa na mbunge kama Gambo, ndio kwanza huyu
 
Akapimwe mkojo maana kama hawiani na wanachama watiifu wenzake basi ana shida
 
Ni mbinu za kumuondoa kwenye ubunge hili makonda apate. Yaani makonda ni bingwa wa kunyakuwa na kunyang'anya wenzake baraka
Makonda ni mtaalamu wa kufitinisha wenzake kwa viongozi kama alivyowafanyia January Makamba na Nape Nnauye wakamwagwa kwa mara ya pili kwenye uwaziri, huyu bwege mikosi kweli kweli, ogopa mtu ambaye yuko tayari kufanya au kufanywa chochote ili apate anachotaka.
 
Itakuwa wananchi ndio wenye shida kwa sababu anawakilisha jamii- gambo kwa imani yake atapata shida sana Arusha. Arusha haijawahi kuwa na mbunge kama Gambo, ndio kwanza huyu.
Abdulrahman Kinana wa imani hiyo hiyo aliwahi kuwa mbunge wa Arusha. Malaria 2 una karama ya upotoshaji ili kukidhi mtazamo wa imani yako.
 
Gambo ana shida sn ya kusocialize na wenzake ktk MASWALA ya Kazi

Na Hii nmemchunguza pia tangu akiwa DC kule Tanga, DC Arusha, rc Arusha Hadi Sasa ni mbunge Arusha.

1. Kule Tanga nadhan aliwai pia kupelekewa mahakamani baada ya kumchafua hadharani kua ana degree ya chupi.

2. Akiwa DC Arusha, Nako vile vile ugomvi na madiwani WA Arusha pamoja na watumishi hauishi.

3. Akiwa rc ndo KABISAA Kuna kipind kagombana na madc watano mkoa mzima, Kisha kagombana na ded Arusha, Bado madiwani n.k

4. Sahivi ni mbunge, Ila unaona kabisa hakuna diwani ata mmoja anasimama na yeye, Hadi inafikia hatua Baraza la madiwani wanakuwekea maazimio mbunge hawakutaki, ujue Wewe ndo unayo shida.
 
Huenda kweli wanamwonea..
Lakini ni kwanini hahudhurii vikao?
 

Umefanya Hast Generalization kuhusiana na suala la tuhuma za huyo Mtu. Kila tuhuma ni lazima ifafanuliwe kwa kina na kwa upekee wake ili kuweza kufikia Uamuzi wa HAKI dhidi ya huyo mtu. Fabricated allegations kama hizo hazina mashiko hata kidogo mbele za Watu wenye akili timamu sawa sawa.

Yawezekana ni kweli kwamba huyo Mrisho Gambo ana matatizo yake, lakini kutokana na tuhuma za hawa Watu wanaomtuhumu jinsi zilivyo, kuna mashaka ya Wazi juu ya tuhuma zao. May be kuna Nia Ovu dhidi ya Gambo.
 
Sasa meya agombee ubunge badala ya mbunge wa sasa. Case closed.
 
Huwezi kua unagombana na madiwani Kila unapokwenda afu tukahitimisha kua wao ndo Wana kukosea Wewe TU Kila siku. Afu WA chama kimoja.

Kipind akiwa DC au rc labda tungesema MASWALA ya uwajibikaji.

Ila Hadi ktk stage ya ubunge, this is too much na Ni kitu Cha ajabu mno.

Bunge letu Lina wabunge zaid ya 300, Zunguka Tanzania nzima, ntaftie mbunge Hata mmoja WA CCM uliesikia anaazimiwa na madiwani wa chama chake hawamtaki.

Utagundua ni Arusha tu Kwa Gambo.
 
Mkuu, hata mimi huwa najiuliza jambo hilo! "Hivi ni kwa nini Arusha tu"? Ebu ujuvi tupeni visababishi vya hali hii.
 
YY MWENYEWE ALIKUWA MWIZI NDIO MAANA MUNGU HAKUMLINDA. UNAONA TRAORE ANAVYOWINDWA NA HAWAMPATI KWANI MUNGU ANAMLINDA
 
Mkuu, nadhani aliwahi kukwaruzana na Ndugu Lema (aliyewahi kwa MP wa Arusha) ugovi juu ya ufunguzi/ujenzi wa hospitali.
 
Mkuu, nadhani aliwahi kukwaruzana na Ndugu Lema (aliyewahi kwa MP wa Arusha) ugovi juu ya ufunguzi/ujenzi wa hospitali.
Sasa hivi Lema anamwonea huruma jinsi gambo anavyopelekwa mchakamchaka na makonda, hapo wamekutana shetani kwa shetani mmamae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…