Tetesi: Meya Kinondoni ni Jipu

We hujatembea nini? Fanya utafiti usikurupuke au sio. Mfano Moshi si ya ukawa ikoje
 
Kijitonyama/Africa sana,tegeta nyuki/Bahar beach na kijinyama/mwananyamala,hivi Barabara zilijengwa zikawekawa lami,je hiyo lami ilidumu muda gani? Msipende kuropokaropoka tu.
 
Kijitonyama/Africa sana,tegeta nyuki/Bahar beach na kijinyama/mwananyamala,hivi Barabara zilijengwa zikawekawa lami,je hiyo lami ilidumu muda gani? Msipende kuropokaropoka tu.
mwulize mayor
 
Mleta Uzi uwe unawaza kabla ya kuropoka ropoka. Maendeleo ni hatua , nyie ndio wale mnaopondea kila kitu. Mlaumu Makonda alikaa kinondoni mwaka mzima hiyo barabara hakuiona? Au kisa mayor ni wa ukawa ndio akutekenya? Your cheap in thinking!! Unaleta mipasho ya taarabu Jf.
 
Nadhani tuache ushabiki usio na maana. Kwa kuwa nimegusa mayor wa ukawa basi kila mtu anaona anaonewa, niambie mafanikio yake kwa siku zaidi ya 100 alizo kaa madarakani japo hata mawili.

Tatizo mtu akisha kuwa ukawa vasi anataka kutuaminisha kuwa yeye katoka sayari nyingine na kuwa ataleta miujiza ya maendeleo

Tunataka kuona mambo yakibadilka, kukaa ofisini na kupiga kelele eti wanawaingilia ktk kuwapa wananchi maendeleo hiyo ndio cheap thinking.

kuna mambo ambayo yapo kwenye command yake bado yanalala.
 
Mleta Uzi amejaa ki Ccc tu hana lolote ,kabrada bra bra nyiiiingi yawezekana ht kazi za ujumbe wa nyumba kumi hajui...ndio tatizo LA kuwa na mihemko ya kiitikadi...
Nenda kamulize MKURUGENZI na ENG hizo barabara zilikuwa zinamsubir Jacob aje...?
 
acha kukurupuka, nenda kamwulize mayor wako wa ukawa kinondoni akwambie majukumu yake.
 
Hawa ukawa wameshapewa jiji wameshapewa na Meya bado tu hata kujitutumua kama RC Makonda hamna, wamebadilisha halmashauri kuwa saccos wanawakopesha akina mama kodi zao tena kwa riba kubwa badae waje wawakamatie blenda tv na makochi. Yaani wanawakaanga kwa mafuta yao wenyewe.
 
Yaani hata hajajua ofisi aipange vipi tayari amekuwa jipu? Naona sasa falsafa ya jipu imepoteza mwelekeo.
Mbona RC Makonda alichaguliwa siku iliyofuata akala sahani moja na majambazi, sasa Dar shwari, ukijichanganya askari wanakula 1m ya bure.
 
Hata mim huku a town Bado nampa muda mbunge wangu lema alisema mwaka Jana kwenye kampen pale kijenge chin kuwa mwaka huku mapema barabara yetu ingekuwa mchakato wa kuweka lami ushaanza Sasa n mwez march unayoyoma sion hata kinachoendelea,mkuu MPE muda tu Huyo meya wenu.
 
Mbona RC Makonda alichaguliwa siku iliyofuata akala sahani moja na majambazi, sasa Dar shwari, ukijichanganya askari wanakula 1m ya bure.
kweli mkuu, Atafunikwa na huyo makonda na atabaki kulalamika ooh makonda anataka sifa, anataka sifa wakati anatekeleza wajibu wake
 
Tulia wewe...acha watu wafanye kazi
 
Edd ,pole umekosa zile hela nn,asilimia kumi ya mikopo kwa akina mama na vijana ,Mwenda alishindwa kuzitoa Jacob ndani ya mwezi tu mambo saaafi
 
Bado halimashauri haijapanga bajeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…