kuwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 817
- 429
We hujatembea nini? Fanya utafiti usikurupuke au sio. Mfano Moshi si ya ukawa ikojeNina amini Halmashauri na manispaa zinazoongozwa na UKAWA hazina jambo jipya la kusukuna maendeleo, kwa kuwa walioteuliwa kuziongoza wana mawazo mgando na wamejaa mipasho na kejeli tu vichwani mwao. Nasubiri, kusahihishwa kwa hili, kwa kuwa katika siku 100 za uongozi wa Rais Magufuli, hawajathubutu wao wenyewe kutoa tathmini ya maeneo yao wanayotawala, wamefanya vizuri kiasi gani.