Tetesi: Meya Kinondoni ni Jipu

Tetesi: Meya Kinondoni ni Jipu

kweli mkuu, Atafunikwa na huyo makonda na atabaki kulalamika ooh makonda anataka sifa, anataka sifa wakati anatekeleza wajibu wake
Makonda anasapotiwa na Rais ndo mana anapata hela kwa haraka huyu meya wa ukawa bado Ana wakat mgumu mi naona anapambana hebu Nenda kule kwenye jukwaa la siasa utaona jins mabula anavyosema .kwa hiyo Tumpe muda.
 
Edd ,pole umekosa zile hela nn,asilimia kumi ya mikopo kwa akina mama na vijana ,Mwenda alishindwa kuzitoa Jacob ndani ya mwezi tu mambo saaafi

kuna mambo ya msingi ya kufanya na ya maendeleo na hata hizo pesa mwenda ametoa pesa sio hivyo vijicent eti mikopo
 
Hawa ukawa watatafuna tu pesa kwa kisingizio kuwa utawala uliopita kwenye majimbo yao haujaacha misingi mizuri, mpaka wamalize kutafuna miaka 5 imepita.
 
Hawa ukawa watatafuna tu pesa kwa kisingizio kuwa utawala uliopita kwenye majimbo yao haujaacha misingi mizuri, mpaka wamalize kutafuna miaka 5 imepita.
hawa watu ni shida
 
Aisee bendera hufuata upepo....Mr prezdar tulimcriticise ndani ya mwezi mmoja na kuendelea kama wanaharakati na uchu wa maendeleo.

Na leo sio vibaya kumtazama meya wetu wa Kino miezi yake 2 kutufanyia nini au stori za Ali Natacha na Abunuwasi.

Ili penye kufukuta panaonekana aghalabu penye muasho tunajikuna. Tanganyika yetu na sio kuwa mlevi wa maji bila kuwa na kata upate mkingamo wa kiu yako.

Kiu iko kwa miale kwa upenzi tutalala na Barafu.

Barabara mbovu sana ...Tandale road, mwananyamala - makumbusho, mabati road.
Meya anapaswa
 
Ha ha sasa mbona magufuli ni Rais ila mpaka sasa sijaona kafanya kitu kinachonihusu yeye kakifanya nikafurahi
 
Mbona Magufuli ameingia miezi michache iliyo pita lakini walau kuna mambo kayafanyia kazi.
Huyu mayor zake maneno, lakini hakuna anacho fanya, kwangu bado ni jipu tuu.
Mayor wa temeke na ilala wamefanya nini jipya?
 
nasusubiri kuona jiji na wilaya zake ktk mabadiliko makubwa.hasa usafi na foleni
 
Jibu ni kina masaburi waliotengeneza barabara chini ya kiwango. Pia mlio kuwa mnachelewesha maendeleo ni ninyi ambao mlikuwa hamkubali kushindwa wakati mnajua hata mngefanya nini msingeweza kuchukua umeya Kinondoni au jiji.
 
masaburi wa nini hapa, onyesheni kazi mlizo fanya?
 
-kwani barabara zinajengwa na meya ,meya ndo anayeamuru barabara zijengwe?
 
masaburi wa nini hapa, onyesheni kazi mlizo fanya?
Kwa hiyo mlikuwa mnachelewesha uchaguzi ili mje muitumie kama kete oooooh miezi minne hamfanya kitu, Mara ooooh hivi na vile. Sasa meya ameshapatikana utaona moto wake. Pia zile za wajasiria mali kina mama na vijana wakati ule zilikuwa zinaenda wapi? Huoni sasa zinatoka?
 
Japo ukawa wanajisifu kushinda uchaguzi lakini hadi sasa hakuna mabadiliko yoyote.

Nadhani mayor wa kinondoni aachane na majigambo yasiyo na maana badala yake tuone mipango uliyo nayo.

Sijaona manispaa yenye barabara mbovu ukiacha zile za Tanroad kama kinondoni.

Kuna siku nimepita njia ya hospitali ya mwananyamala sitasahau, nilihisi nimepotea njia.

Barabara ni mbovu lakini utakuta kinamama bado wanazifagia na watu wanapiga pesa kama kawaida.

Mr Bonface tunataka kuona vitendo maneno tumesha yazoea.

Hadi sasa naona mnaziba viraka vya lami kwa odongo , kweli ukawa ni jipu.
Kweli kama jina lako lilivyo, wewe ni tabutupu hata kufikiri kwako ni tabu tupu.
 
Mbona Magufuli ameingia miezi michache iliyo pita lakini walau kuna mambo kayafanyia kazi.
Huyu mayor zake maneno, lakini hakuna anacho fanya, kwangu bado ni jipu tuu.
Magu hakuna alichofanya mpaka sasa kikaonaekana zaidi ya kuonekana kwenye media. Maisha bado ni tight kwa wananchi wa kawaida labda tumpe muda!
 
Nadhani Ww Ndio Umeingia Dar Mwaka Huu Na Kupata Nafasi Ya Kupita Hapo Ukipelekwa Sobar House Hapo M/mala Hospital!! Sasa Ukimaliza Dose Yako Methadone, Kamuulize Mtu Anaitwa Paul Makonda Aliyekuwa DC K/ ndoni (Sasa RC Dar) Akueleze Kuhusu Ufisadi Uliyofanywa Na Viongozi Wa CCM Na Watendaji Wa Serikali Yao Ktk Miradi Mbali Mbali Ya Maendeleo, Ikiwamo Na Hizo Barabara!!!! Kwa Taarifa Yako Serikali Nzima Ya CCM Kuanzia Ile Kuu Hadi Za Mitaa Watu Walikuwa Busy Kupiga Dili Tu, Kila Mradi Umejengwa Chini Ya Kiwango, Watu Wanachukua Chao Ndio Maana Leo Serikali Ya Awamu Ya 5 Inaangakia Kutoa Huu UOZO Ulitapakaa Kila Kona!! Sijui Huyo Meya Wa UKAWA Ni Lini Wamekaa Na Kupitisha Bajeti Au Kupokea Mafungu Toka Serikali Kuu Kwa Ajili Ya Mradi Wowote Ule, Ambao Yeye Ukiwa Chini Ya Uongozi Wake Umeharibika Au Kufujwa Ama Kufanyika Ubadhilifu!! Kila Ukionacho Dar Hii, Achana Na K/ndoni Ni Matokeo Ya Watendaji Na Viongozi Wa Awamu Zilizopita!!! Ndio Maana Mkurugenzi Wa Manispaa Hiyo Amesimamishwa Kazi Kwa Tuhuma Hizo Hizo, Hivyo Akamwambie MUSSA NATTY, YUSUPH MWENDA Na DIDAS MASABURI Kwanini K/ndoni Barabara Zake Za Manispaa Zina Hali Mbaya!!!??
 
acheni kujitetea miaka mitano.mtamaliza kwa.porojo
 
Back
Top Bottom