Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Hahahaaa kimeumana
 
Mh. Mayor hajavunja sheria yoyote hapa ,nani sisi katupa haki ya kuhukumu?mtu akiamua kuwa gay, lesbian au straight ni haki yake, vijana wa dot.com tafuteni fedha katika Maisha yenu!...pale Mother City wenye Pesa nyingi ni lesbian &gays wanapitwa na Jewish!nyie endeleeni kupiga domo
 
Huyu Meya anamsapoti mwenezi wa chama chao hayo mambo yamezoeleka huko kwao .
 
Hakuna hata kavideo tushuhudie?
 
Utakuwa shouger wewe laana kabisa
 
Hili limenikumbusha jamaa flani alikua anaitwa Mawala hapo Moshi karibu na chuo Cha ushirika alikua anatuhimiwa kuwa ni shoga, familia yake ilikua inaishi Marekani ilidaiwa yeye alirudishwa kwa Sababu hiyo, inadaiwa pia ndio alikua anawapa hela vijana ili kutimiza azma yake. Ushoga ni kinyume na maadili ya jamii yetu tusikubali huu ujinga.
 
Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine?? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga....???Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
Tatizo CCM ni wanafiki wakubwa,Lisu na Fatma ni watu wawazi sana. Walisema hizo ni privacy za watu siyo sahihi kuziingilia kwa namna ya Makonda alivyodeal nazo,mkaanza kelele ooh wanatetea mashoga! Sasa yako wapi kumbe ndo maisha yenu!!!! Huyo ni wa kwenu mpaka tabia zake mnafanana.
 
Boss umekosea kosea sana kuandika. Ulikua umelala au
 
Kwani cha ajabu nini huko ccm ?

 
Sio yule mzee anatembea taratibu anapenda sana kupiga pensi na fulana na sendoz mchana. Mitaa ya nyuma kule geti la chini ushirika. Sio hiyo?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…