Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Madiwani waache tamaa za umeya hata kama lengo la kuwa ccm ni kuwa na wadhifa na kofia nyingi
 
Ingawa hili ndilo jambo lililotugombanisha na EU,lakini nashangaa sana kwamba Meya anasema atatetea haki za mashoga. This is absurd.
 
View attachment 2125794

Hali si shwari ndani ya baraza la madiwani la Manispaa ya Moshi ambako madiwani wamekuja juu wakimtaka meya wao, Juma Raibu kujiuzulu fasta baada ya clip moja kusambaa mitandaoni ambako amesikika akiunga mkono mapenzi ya jinsia moja.

Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa mwanaumme mmoja aliyeko kwenye mapenzi ya jinsia moja hapo mjini Moshi na katika salamu zake amenukuliwa akiunga mkono mapenzi hayo na kusisitiza manispaa ya moshi iko tayari kulinda haki zao na kwmaba itawapa ushirkkiano katika kudi haki zao.

Hii iliwaibua madiwani hao na wakambana vilivyo kwenye kikao cha maandalizi ya baraza la madiwani (Pre Council) kilichokuwa na madiwani wengi wa CCM wakimtaka aachie ngazi kwa kile walichodai amewadhalilisha madiwani na baraza zima la madiwani lakini moto ulizisi kuwa mkali kiasi cha madiwnai hao na meya wao kurushiana maneno mazito yaliyopelekea baadhi ya madiwani hasa wanawake kutoka nje ya kikao.

"Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku zote imekuwa haiungi mkono mapenzi ya jinsia moja leo meya anatoa wapi nguvu ya kuunga mkono mapenzi hayo? Kwa kweli hili limetudhalilisha sana sisi madiwani na njia sahihi kwa meya ni kuachia ngazi?,"amesikika diwani moja alipowatonya wanahabari jana wapohudhuria kikao cha baraza la madiwani.

Kutokana na kasheshe hilo,jana madiwani wote wanaotokana na CCM waliitwa kwenye kikao cha ndani ofisi ya CCM Manispaa ya moja na katibu wa CCM manispaa hiyo Ibrahim Mjanaheri kikao kilichofanyika saa nane mchana mara baada ya kikao cha baraza la madiwani kumalizika kwa lengo la kwenda kutliza hali ya hewa.

Hata hivyo leo tena mara baada ya kikao cha barza la madinwai kilichoketi kwa siku mbili jana na leo, madiwani ihao mpaka muda huu wapo kwenye kikao cha ndnai ofisi ya CCM mkosa kikao ambacho kipo chini ya katibu wa CCM mkoa, Jonathan Mabihya leo ni hilo hilo la ktuliza mabo ambayo kwa kwlei yanakwenda kombo.

Hadi muda huu kikao cha madiwani hao na viongozi wa CCM mmkoa kinaendelea,mmoja wa madiwani walioko ndnai ya kikao amesma moto ni mkali sana la lazima juma Raibu ataachia ngani na hilo ni suala la muda tu kama ilivyotokea kwa Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.

Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja
Madiwani wote wa ccm chapati ya maji
 
Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine?? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga....???Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
Huyo ccm mwenzako chapati ya maji hiyo kama yule Katibu mwenezi alieolewa Mombasa... chama kimejaa mashoga na malaya
 
Dah!
Hii ni hatari, CCM baada ya kuachiwa shamba la bibi kisiasa wanaupigia debe ushoga kwa nguvu zote.
Yaani miaka 60 baada ya uhuru, CCM imeamua kuwapelekea ushoga wachaga pale Moshi.

Haya sasa Meya wa Moshi mjini kupitia CCM anaunga mkono ushoga kwa 100%.
Kumekuchaa!
Meya ni mpare sasa hivi tabia karithi kwa katibu mwenezi wake wa ccm
 
Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa mwanaumme mmoja aliyeko kwenye mapenzi ya jinsia moja hapo mjini Moshi na katika salamu zake amenukuliwa akiunga mkono mapenzi hayo na kusisitiza manispaa ya moshi iko tayari kulinda haki zao na kwmaba itawapa ushirkkiano katika kudi haki zao.

[emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji2827][emoji2827]
MZUNGU AKISHATAKA LAKE LAZIMA LIWE!
 
Ni watu fulani kwa maslahi fulani wanapima upepo fulani juu ya mtazamo fulani wa watu fulani na ni hawa hawa wakina fulani, wanataka kufanya jambo fulani.

Huu msimu media zinatumika sana, unaweza jikuta umefanikisha jambo la watu hivi hivi bila malipo [emoji52]
 
Hili limenikumbusha jamaa flani alikua anaitwa Mawala hapo Moshi karibu na chuo Cha ushirika alikua anatuhimiwa kuwa ni shoga,familia yake ilikua inaishi Marekani ilidaiwa yeye aliludishwa kwa Sababu hiyo, inadaiwa pia ndo alikua anawapa hela vijana ili kutimiza azma yake.Ushoga ni kinyume na maadili ya jamii yetu tusikubali huu ujinga.
Huyo jamaa namjua ila sikuwa najua jina lake. Ana nyumba fulani kubwa nyeupe nyuma ya chuo na kama vile anaishi mwenyewe humo. Old Moshi kipindi kile
 
Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa mwanaumme mmoja aliyeko kwenye mapenzi ya jinsia moja hapo mjini Moshi na katika salamu zake amenukuliwa akiunga mkono mapenzi hayo na kusisitiza manispaa ya moshi iko tayari kulinda haki zao na kwmaba itawapa ushirkkiano katika kudi haki zao.

[emoji848][emoji848][emoji3064][emoji3064][emoji2827][emoji2827]
MZUNGU AKISHATAKA LAKE LAZIMA LIWE!
Mtani huyu ndgu yako tabia karithi kwa chama chao ccm
 
Back
Top Bottom