ole moipoi
Member
- Feb 21, 2022
- 16
- 7
Labda nae ni moja wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani shaka ni mtu wa upinzani [emoji1787][emoji1787]Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga? Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
Noma sana!Kama katibu mwenezi wa CCM Taifa wa sasa anashutumiwa kuwa ni shoga mbobezi na anaunga mkono ushoga, nani mwingine wa chini anaweza kuupinga huo msimamo?
CCM=Chama Cha Mabwabwa!
Mother City ni wapi?Mh. Mayor hajavunja sheria yoyote hapa ,nani sisi katupa haki ya kuhukumu?mtu akiamua kuwa gay, lesbian au straight ni haki yake, vijana wa dot.com tafuteni fedha katika Maisha yenu!...pale Mother City wenye Pesa nyingi ni lesbian &gays wanapitwa na Jewish!nyie endeleeni kupiga domo
okay...na vipi mapadri na masista...mbona mnaruhusu waendelee kupunguza human existence?Tunalinda human existence maana ili kuendelewa kuwepo wanadamu, tunahitaji muingiliano baina ya jinsia mbili tofauti.
jibu swali ndo uulize swaliNa kwanini iruhusu?
nimeuliza swali tu... una jibu?Na wewe pia ni Raibu?
nimeuliza swali tu...jibu lake unalijua?Unataka na wewe ufumuliwe mtaro wa maji michafu?
Wako small in number na hawaambukizi ujue, hii trend ya gays inaambukizwaokay...na vipi mapadri na masista...mbona mnaruhusu waendelee kupunguza human existence?
Typical middle class wa kitanzania, kufanya kautafiti kidogo imekua shida mno, mmezoea kila kitu kutafuniwaMother City ni wapi?
Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga? Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels
Utafiti uliufanyia wapi ndugu?Kwa taarifa yako wanaume Wachagga ndiyo wanaongoza kwa ushoga, usijidanganye kuwa wamepelekewa na CCM. Tutakuwekea hapa majina utashangaa. Kaa kimya
kusingekuwa na mapadri watu wangeenda kusomea upadri? Kama jibu ni hapana means inaambukizwa.Wako small in number na hawaambukizi ujue, hii trend ya gays inaambukizwa
Kila kitu tukiiachia nature patakuwa hapatoshi.kusingekuwa na mapadri watu wangeenda kusomea upadri? Kama jibu ni hapana means inaambukizwa.
Mi nafikiri power ya kucontrol population ya specie ni kubwa sana kumpa mtu/serikali ..hiyo tuiachie nature/mungu
Watanzania tuna uvivu mbaya sanaTypical middle class wa kitanzania,kufanya kautafiti kidogo imekua shida mno, mmezoea kila kitu kutafuniwa
ccm wote mbona mashoga tu na ndo sera yao, we ulichelewa wapiHuyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga? Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
itafika mda sasa population imepungua watu mtakuwa mnalazimishwa na serikali kujamiiana kwa lazima....Kila kitu tukiiachia nature patakuwa hapatoshi.
Ikija pandemic iachiwe nature, uchafuzi wa mazingira iachiwe nature.
Kiuhalisia, TZ ni kama imekubali ushoga ila tu ambacho haikubali nikukiri hadharani 😂
Swali la jamaa ni zuri sana, Likijibiwa vizuri litatoa ukakasi kwa wengi; Mfano Serikali inazuia matumizi ya Bangi kwa sababu fulani, Inazuia matumizi ya Madawa ya Kulevya kwa sababu fulani, inaruhusu Matumizi ya vileo vilivyoidhinishwa kwasababu fulani? Base ya Serikali kupinga ipo wapi? Mimi siungi mkono ila nahitaji kujua base ya Serikali kukubali/ kukataa Mapenzi ya jinsia Moja... unakubaliana nao?
Mimi nasema serikali isipromote ushoga, the more promo zinavyozidi the more watu wanaona kawaida and the more watu wengine wanaingia.itafika mda sasa population imepungua watu mtakuwa mnalazimishwa na serikali kujamiiana kwa lazima....
Mi nadhani ushoga upingwe kwa sababu za kidini and the like lakini serikali isiyo na dini sio pahala pake...au wewe unasemaje?