Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Mh. Mayor hajavunja sheria yoyote hapa ,nani sisi katupa haki ya kuhukumu?mtu akiamua kuwa gay, lesbian au straight ni haki yake, vijana wa dot.com tafuteni fedha katika Maisha yenu!...pale Mother City wenye Pesa nyingi ni lesbian &gays wanapitwa na Jewish!nyie endeleeni kupiga domo
As if pesa ndio kila kitu. Wenye pesa then walipaswa kuwa the happiest men. Mtafute Bezos akupe hints. Life is more than money. When you have life money is valuable. Else it is catastrophe
 
okay...na vipi mapadri na masista...mbona mnaruhusu waendelee kupunguza human existence?
Hao mapadri na nuns, wako wangapi dunia nzima??,,, je hao wanaweka shinikizo kwa watu wengine ili wawe kama wao??

Wao mapadri na nuns ni minority group kwa Tanzania ( kwa namba) na wanaongozwa na kanuni za their ethical institutions tena wanafanya hvo for their special purpose and calling,,,

Vipi kuhusi hao mashoga?? Je by ethics ni sahihi??
 
Swali la jamaa ni zuri sana, Likijibiwa vizuri litatoa ukakasi kwa wengi; Mfano Serikali inazuia matumizi ya Bangi kwa sababu fulani, Inazuia matumizi ya Madawa ya Kulevya kwa sababu fulani, inaruhusu Matumizi ya vileo vilivyoidhinishwa kwasababu fulani? Base ya Serikali kupinga ipo wapi? Mimi siungi mkono ila nahitaji kujua base ya Serikali kukubali/ kukataa Mapenzi ya jinsia Moja
... dah; umeshaambiwa ni mapenzi ya jinsia moja halafu unatafuta base ya serikali kukataa! Tamaduni, mila, na desturi zetu haziruhusu huo uchafu!
 
Tamaduni, mila, na desturi zetu haziruhusu huo uchafu!
Kaka mimi nimejaribu kuwaza kwa mapana, Kwani Pombe, Sigara, Mila, Dini na Desturi zetu zinaruhusu? ni suala la kujibu kama unafahamu, kama hufahamu pia sio tatizo.
 
Mimi nasema serikali isipromote ushoga, the more promo zinavyozidi the more watu wanaona kawaida and the more watu wengine wanaingia.
Jiulize mwaka 2000 shoga alikuwa anaonekanaje mbele ya jamii na sasa anaonekanaje?
Now ni watangazaji wanapeea airtime ya kutosha hivyo vijana wanaona kawaida tu
okay lets say serikali imekusikia na haipromote.....lakini vikaendelea, serikali inapaswa kuingilia?
 
okay lets say serikali imekusikia na haipromote.....lakini vikaendelea, serikali inapaswa kuingilia?
Serikali ijiweke tu mbali, na viongozi wasijihusishe na haya mambo. La msingi wasiruhusu hawa watu kupewa promo kwenye media. Ila hili ni tatizo kubwa kuliko watu wanavyofikiri.

Kuna watu wengi wanajihusisha na hii michezo kuliko tunavyofikiri na hawajiweki wazi kabisa. Wengine wanapandwa na kupanda.
 
Hao mapadri na nuns, wako wangapi dunia nzima??,,, je hao wanaweka shinikizo kwa watu wengine ili wawe kama wao??

Wao mapadri na nuns ni minority group kwa Tanzania ( kwa namba) na wanaongozwa na kanuni za their ethical institutions tena wanafanya hvo for their special purpose and calling,,,

Vipi kuhusi hao mashoga?? Je by ethics ni sahihi??
kwani mashoga huwa wanawashinikiza/ kuwalazimisha watu wengine wawe kama wao?

Vipi kuhusu ethics? serikali inasimamia ethics au sheria? Maana tukifata ethics hata mwanamke kutokereketwa huko mara ni kuvunja miiko na ethics..je serikali iingilie kati kulazimisha wakereketwe?
 
Serikali ijiweke tu mbali, na viongozi wasijihusishe na haya mambo. La msingi wasiruhusu hawa watu kupewa promo kwenye media. Ila hili ni tatizo kubwa kuliko watu wanavyofikiri.
Kuna watu wengi wanajihusisha na hii michezo kuliko tunavyofikiri na hawajiweki wazi kabisa. Wengine wanapandwa na kupanda.
kwahyo kwa maana nyingine...serikali isijihusishe kusapoti/kupinga vitendo vya ushoga?
Yeah mashoga ni wengi Tz...unahisi chanzo ni nini?
 
Swali la jamaa ni zuri sana, Likijibiwa vizuri litatoa ukakasi kwa wengi; Mfano Serikali inazuia matumizi ya Bangi kwa sababu fulani, Inazuia matumizi ya Madawa ya Kulevya kwa sababu fulani, inaruhusu Matumizi ya vileo vilivyoidhinishwa kwasababu fulani? Base ya Serikali kupinga ipo wapi? Mimi siungi mkono ila nahitaji kujua base ya Serikali kukubali/ kukataa Mapenzi ya jinsia Moja
Fungua NGO mkuu

Mteteane vizuri

ILA Kwa sasa ushoga ni kinyume na sheria
 
kwani mashoga huwa wanawashinikiza/ kuwalazimisha watu wengine wawe kama wao?
Vipi kuhusu ethics? serikali inasimamia ethics au sheria? Maana tukifata ethics hata mwanamke kutokereketwa huko mara ni kuvunja miiko na ethics..je serikali iingilie kati kulazimisha wakereketwe?
Shinikizo la kutaka everyone aone what wanafanya ni right, regardless of society waliopo,,, a good example ni USA

Sheria zipo ili kulinda mwananchi, so mtu asipo mpisha mzee handicap kwenye daladala ili mzee akae,, it's right, just because haipo kwa Sheria,,,??

Sio kila kitu cha kusimamiwa na serikali
 
kwahyo kwa maana nyingine...serikali isijihusishe kusapoti/kupinga vitendo vya ushoga?
Yeah mashoga ni wengi Tz...unahisi chanzo ni nini?
Isiruhusu wafanyiwe promosheni, kuafunga haiwezi kuwa good move.

Ni utandawazi, watu wanaona mambo mengi siku hizi na wanataka kujaribu. Pia tamaa na mseleleko. Vijana wanaona vijana wenzao wako madubai, wanakula maisha wanavaa vizuri, wanaishi apartments walizonunua over 100k USD nao wanataka pasipo kujua kuwa wana masponsor.

Vijana wanapenda maisha mazuri na wako tayari kufanya lolote kuyapata.
 
Fungua NGO mkuu

Mteteane vizuri

ILA Kwa sasa ushoga ni kinyume na sheria
Sasa mbona unajichanganya Mkuu, Kwa sasa ushoga ni kinyume cha sheria, halafu unasema tena Fungua NGO, kwamba NGO inafanya kazi nje ya sheria?? Mimi nimeuliza ulitakiwa ujibu kama hufahamu basi hakuna tatizo.

Umeshindwa kunielewa maelezo yangu, halafu unakuja na conclusion.Majambazi, mafisadi, wote wanayohaki ya kutetewa? mbona serikali imeruhusu wawe na mawakili wa kuwatetea? Hili ni jukwaa huru, tunawaza kwa mapana sio kwa upande mmmoja tuu
 
ukimpata muumini mzuri wa hivo vitu lazima akuoneshe how kutovifuata kutaaffect society negatively......
Ushoga unaafect vipi society negatively?
Ooooooh dear telling my kids it's right kutobolewa nyuma ni fine?? Ilianza kidogo ushoga,, right now in US wanafundishwa kuwa a Man can get pregnant,,, ushoga hauji solo,, unakuja na vtu vngne vng
 
Back
Top Bottom