Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Kaka mimi nimejaribu kuwaza kwa mapana, Kwani Pombe, Sigara, Mila, Dini na Desturi zetu zinaruhusu? ni suala la kujibu kama unafahamu, kama hufahamu pia sio tatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawana wanalolijua wanahemkwa tyuuh.
 
Sasa mbona unajichanganya Mkuu, Kwa sasa ushoga ni kinyume cha sheria, halafu unasema tena Fungua NGO, kwamba NGO inafanya kazi nje ya sheria?? Mimi nimeuliza ulitakiwa ujibu kama hufahamu basi hakuna tatizo.

Umeshindwa kunielewa maelezo yangu, halafu unakuja na conclusion.Majambazi, mafisadi, wote wanayohaki ya kutetewa? mbona serikali imeruhusu wawe na mawakili wa kuwatetea? Hili ni jukwaa huru, tunawaza kwa mapana sio kwa upande mmmoja tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mpe huyo vidonge vyake, had apagawe zaidi lol.
 
Ooooooh dear telling my kids it's right kutobolewa nyuma ni fine?? Ilianza kidogo ushoga,, right now in US wanafundishwa kuwa a Man can get pregnant,,, ushoga hauji solo,, unakuja na vtu vngne vng
Ndo uachwe km ulivyo, wee kuwa straight hakuna anayekuingilia lol, na mashoga waachwe km walivyo. Khaaaah
 
hapo mimi mkuu nakupinga,,,siamini kama mwanaume kamili straight anaweza kutoa jicho dogo ili apate macho matatu.....mashoga wengi ukiwafuatilia walianza utotoni sio ukubwani baada ya kuijua Dubai na Nguvu ya dollar...hata kama wa hivyo wapo basi kwenye kumi ni mmoja
Hii ishu inaanzia utotoni
Huna unalolijua kaa kimyaaa tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilijua kushinikiza ulimaaniisha ile kulazimisha watu wasio mashoga wawe mashoga...Kama ni hivyo basi na wahubiri wote wafungiwe maana kuhubiri ni kushinikiza watu waone imani yako ni sahihi..
Sasa ishu sidhani kama ni ushinikizaji bali ni nini kinachoshinikizwa.

Na mada iliyopo inaongelea meya wa serikali na ushoga. kwahiyo kwenye mfano wako wa handicapped kwenye daladala umeitoa serikali isihusike hapo lakini kwenye ushoga unataka serikali ijihusishe,,,,

Again mimi sijasema ushoga ni right au wrong....nilichouliza ni unahusiana nini na serikali?
Hawana majibu wanabaki kuhemkwa tyuuuuh, watoe majibu hapaa khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mwanaume mzima na tena rijali,unajisikiaje kuingiliwa na mwanaume mwenzio?? Unapapaswa makalio nk unajisikiaje??? Wakati huo dude lako limesinyaa or???
Yaani mnakera sanaaa,na siku hizi mnaona kama fashion yaani. Ninyi ndo mnaosababisha majanga nchini!! Mrudieni basi Mungu,ili kuepuka hii laana na dhambi .

Jehanam ipo! Ole wako wewe unaeingiliwa,nawewe unaewaingilia. Maandiko yanasema,mwisho wenu ni katika ziwa la Moto. BADILIKENII
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ukae kimya nawee, unadhan watu wote wafia dini km wewe? Poleeeeeeh
 
Hili limenikumbusha jamaa flani alikua anaitwa Mawala hapo Moshi karibu na chuo Cha ushirika alikua anatuhimiwa kuwa ni shoga,familia yake ilikua inaishi Marekani ilidaiwa yeye aliludishwa kwa Sababu hiyo, inadaiwa pia ndo alikua anawapa hela vijana ili kutimiza azma yake.Ushoga ni kinyume na maadili ya jamii yetu tusikubali huu ujinga.
Duh....
 
Back
Top Bottom