Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Nakubaliiiiiih
Hata Yesu Aliwapasha watu wa deen!
[emoji116][emoji116]
Marko 2
15 Hata alipokuwa ameketi chakulani nyumbani mwake, watoza ushuru wengi na wenye dhambi waliketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake; kwa maana walikuwa wengi wakimfuata.

16 Na waandishi na Mafarisayo walipomwona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi, waliwaambia wanafunzi wake, Mbona anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

17 Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi.
 
Wee ushafika hapa, nimejitoa kwenye hii discusion [emoji23][emoji23]
Baki hapa ndo natala mjadala undeleee, haya nieleze hiyo nature ni ipi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama tunavyohimizana kulinda mazingira, kupunguza Co2 emission yote ni kulinda human existence. Ndio hivyo hivyo tunalinda na huku
Huna hata hoja umebaki kulia lia, poleeeeh ushoga ndo unazidi kukua na serikali yako ishasema mashoga wako salama na waendelee na shughuri zao kwa uhuru. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu weuweeeeeeeh.
 
We wamesema lini?
 
Hili limenikumbusha jamaa flani alikua anaitwa Mawala hapo Moshi karibu na chuo Cha ushirika alikua anatuhimiwa kuwa ni shoga, familia yake ilikua inaishi Marekani ilidaiwa yeye alirudishwa kwa Sababu hiyo, inadaiwa pia ndio alikua anawapa hela vijana ili kutimiza azma yake. Ushoga ni kinyume na maadili ya jamii yetu tusikubali huu ujinga.
Hiyo familia sijui ilikuwa na shida gani..
... Kama Ni ukwasi wanao wa kutosha lakini Wana visa vya ajabu ajabu .. ..
 
Wakuu leo naandika haya ili yabaki kama kumbukumbu huko mbeleni.
Kupinga changamoto ya ushoga ni upofu na ujinga. Ni suala la muda tu. Kadri tuvyozidi kuzaliana ni wazi kuwa vinasaba na hulka za binadamu pia zinazidi kubadilika.

Tukubaliane tu kuwa tunaposema mwanamke au mwanamume mara nyingi tunachora mstari mmoja kuwatenganisha watu hawa.
Lakini vipi kuhusu wale ambao sifa zao za ndani au za nje hazikidhi vigezo vya kuwa upande wowote wa mstari?
Mtoto anazaliwa anaangaliwa hapo chini mara paap anchaguliwa nguo za kuvaa kulingana na kilichoonekana na ndugu watazamaji. Vipi kama upande aliochaguliwa si hulka yake?
Kuna wanaume na wanawake wapo ambao wanakuwa na amani wanapokuwa kwenye uwepo wa jinsia tofauti na inayofahika kwenye jamii.

Kama ambavyo ufupi, urefu, unene na wembamba ni sifa endelevu tukubaliane vile vile kuwa mwanaume au mwanamke si sifa za bainishi (jumla jumla).
Kuna mwanamuziki aliwahi kuwaona wale wanaume kama mabinti... nina imani hata sisi tumeshakutana na mabinti kama wanaume. Noma zaidi unamkuta binti mrembo usoni, kifuani, kiunoni lakini sirini ni wa kiume na mashine ipo active!
Kadri population inavozidi kuongezeka basi tegemea idadi ya wenye changamoto hizo za kijinsia kuongezeka!

Kwa sasa tunao japo si wengi! Na wananyanyapaliwa sana!

Nimalize kwa kusema "Sirini kuna mengi sana"

Minority rights should not be ignored!
#FUTURE_POST
 
Wakuu leo naandika haya ili yabaki kama kumbukumbu huko mbeleni.
Kupinga changamoto ya ushoga ni upofu na ujinga. Ni suala la muda tu. Kadri tuvyozidi kuzaliana ni wazi kuwa vinasaba na hulka za binadamu pia zinazidi kubadilika.

Tukubaliane tu kuwa tunaposema mwanamke au mwanamume mara nyingi tunachora mstari mmoja kuwatenganisha watu hawa.
Lakini vipi kuhusu wale ambao sifa zao za ndani au za nje hazikidhi vigezo vya kuwa upande wowote wa mstari?
Mtoto anazaliwa anaangaliwa hapo chini mara paap anchaguliwa nguo za kuvaa kulingana na kilichoonekana na ndugu watazamaji. Vipi kama upande aliochaguliwa si hulka yake?
Kuna wanaume na wanawake wapo ambao wanakuwa na amani wanapokuwa kwenye uwepo wa jinsia tofauti na inayofahika kwenye jamii.

Kama ambavyo ufupi, urefu, unene na wembamba ni sifa endelevu tukubaliane vile vile kuwa mwanaume au mwanamke si sifa za bainishi (jumla jumla).
Kuna mwanamuziki aliwahi kuwaona wale wanaume kama mabinti... nina imani hata sisi tumeshakutana na mabinti kama wanaume. Noma zaidi unamkuta binti mrembo usoni, kifuani, kiunoni lakini sirini ni wa kiume na mashine ipo active!
Wapo japo si wengi! Sirini kuna mengi sana!

Minority rights should not be ignored!
#FUTURE_POST
Kuliwa na mwanaume mwenzio ni HAKI? assume unakuta kadi ya mwaliko wa harusi ya bwana JUMA na bibi/ bwana HASSAN si unaweza ukatapika mkuu?
 
#Future post!
Kadri tunavyoendelea kuzaliana na kuongezeka hayo maajabu nayo yanaongezeka na kuwa wazi zaidi.
Yaani ni kama vile biashara ya ngono inavyozidi kushika kasi maeneo mengi mashambani, maofisini, makanisani, mijini, vijijini, n.k.
 
Kuliwa na mwanaume mwenzio ni HAKI? assume unakuta kadi ya mwaliko wa harusi ya bwana JUMA na bibi/ bwana HASSAN si unaweza ukatapika mkuu?
Na hata ukihara, Kwan harusi haitafungwa? Tutolee sie gubu zako hapa, sasa huo ushoga na mashoga wapo au.hawapo? Tena sahivi wamejaa tele uraiani wana jifaragua wazi wazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh.
 
Wakuu leo naandika haya ili yabaki kama kumbukumbu huko mbeleni.
Kupinga changamoto ya ushoga ni upofu na ujinga. Ni suala la muda tu. Kadri tuvyozidi kuzaliana ni wazi kuwa vinasaba na hulka za binadamu pia zinazidi kubadilika.

Tukubaliane tu kuwa tunaposema mwanamke au mwanamume mara nyingi tunachora mstari mmoja kuwatenganisha watu hawa.
Lakini vipi kuhusu wale ambao sifa zao za ndani au za nje hazikidhi vigezo vya kuwa upande wowote wa mstari?
Mtoto anazaliwa anaangaliwa hapo chini mara paap anchaguliwa nguo za kuvaa kulingana na kilichoonekana na ndugu watazamaji. Vipi kama upande aliochaguliwa si hulka yake?
Kuna wanaume na wanawake wapo ambao wanakuwa na amani wanapokuwa kwenye uwepo wa jinsia tofauti na inayofahika kwenye jamii.

Kama ambavyo ufupi, urefu, unene na wembamba ni sifa endelevu tukubaliane vile vile kuwa mwanaume au mwanamke si sifa za bainishi (jumla jumla).
Kuna mwanamuziki aliwahi kuwaona wale wanaume kama mabinti... nina imani hata sisi tumeshakutana na mabinti kama wanaume. Noma zaidi unamkuta binti mrembo usoni, kifuani, kiunoni lakini sirini ni wa kiume na mashine ipo active!
Wapo japo si wengi! Sirini kuna mengi sana!

Minority rights should not be ignored!
#FUTURE_POST
Nakazia...
 
Back
Top Bottom