Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

Sasa mbona unajichanganya Mkuu, Kwa sasa ushoga ni kinyume cha sheria, halafu unasema tena Fungua NGO, kwamba NGO inafanya kazi nje ya sheria?? Mimi nimeuliza ulitakiwa ujibu kama hufahamu basi hakuna tatizo.
NGO si huwa zinawatetea mashoga?

Join the forces
 
Ooooooh dear telling my kids it's right kutobolewa nyuma ni fine?? Ilianza kidogo ushoga,, right now in US wanafundishwa kuwa a Man can get pregnant,,, ushoga hauji solo,, unakuja na vtu vngne vng
okay...orodhesha vitu vyake vyote na madhara yake kwa jamii
 
Isiruhusu wafanyiwe promosheni, kuafunga haiwezi kuwa good move.
Ni utandawazi, watu wanaona mambo mengi siku hizi na wanataka kujaribu. Pia tamaa na mseleleko. Vijana wanaona vijana wenzao wako madubai, wanakula maisha wanavaa vizuri, wanaishi apartments walizonunua over 100k USD nao wanataka pasipo kujua kuwa wana masponsor.
Vijana wanapenda maisha mazuri na wako tayari kufanya lolote kuyapata.
hapo mimi mkuu nakupinga,,,siamini kama mwanaume kamili straight anaweza kutoa jicho dogo ili apate macho matatu.....mashoga wengi ukiwafuatilia walianza utotoni sio ukubwani baada ya kuijua Dubai na Nguvu ya dollar...hata kama wa hivyo wapo basi kwenye kumi ni mmoja
Hii ishu inaanzia utotoni
 
Shinikizo la kutaka everyone aone what wanafanya ni right, regardless of society waliopo,,, a good example ni USA

Sheria zipo ili kulinda mwananchi, so mtu asipo mpisha mzee handicap kwenye daladala ili mzee akae,, it's right, just because haipo kwa Sheria,,,??

Sio kila kitu cha kusimamiwa na serikali
Mimi nilijua kushinikiza ulimaaniisha ile kulazimisha watu wasio mashoga wawe mashoga...Kama ni hivyo basi na wahubiri wote wafungiwe maana kuhubiri ni kushinikiza watu waone imani yako ni sahihi..
Sasa ishu sidhani kama ni ushinikizaji bali ni nini kinachoshinikizwa.

Na mada iliyopo inaongelea meya wa serikali na ushoga. kwahiyo kwenye mfano wako wa handicapped kwenye daladala umeitoa serikali isihusike hapo lakini kwenye ushoga unataka serikali ijihusishe,,,,

Again mimi sijasema ushoga ni right au wrong....nilichouliza ni unahusiana nini na serikali?
 
hapo mimi mkuu nakupinga,,,siamini kama mwanaume kamili straight anaweza kutoa jicho dogo ili apate macho matatu.....mashoga wengi ukiwafuatilia walianza utotoni sio ukubwani baada ya kuijua Dubai na Nguvu ya dollar...hata kama wa hivyo wapo basi kwenye kumi ni mmoja
Hii ishu inaanzia utotoni
Watu wana tamaa sana, unajua mkuu tamaa ndo uwa inatuponza. Na ndo maana ili mtu akushawishi ufanye kitu flani uwa kwanza anakuonyesha what you will earn from that.
Mfano nataka uue, nakuketea briefcase ya pesa nasema ndo malipo ukikamilisha.
Utakataa ila pichs ya fedha itabaki kichwani mwako ukienda unaanza piga hesabu ile pesa ungeifanyia hiki na kile.
Watu wanapenda mseleleko.
Kama humu kuna thread vjana wanatafta mganga wa kuwapa utajiri wa kuishi miaka kadhaa halafu wafe, watashindwaje kuwepo vijana ambao wako tayari kugawa ndogo
 
Mimi nilijua kushinikiza ulimaaniisha ile kulazimisha watu wasio mashoga wawe mashoga...Kama ni hivyo basi na wahubiri wote wafungiwe maana kuhubiri ni kushinikiza watu waone imani yako ni sahihi..
Sasa ishu sidhani kama ni ushinikizaji bali ni nini kinachoshinikizwa.

Na mada iliyopo inaongelea meya wa serikali na ushoga. kwahiyo kwenye mfano wako wa handicapped kwenye daladala umeitoa serikali isihusike hapo lakini kwenye ushoga unataka serikali ijihusishe,,,,

Again mimi sijasema ushoga ni right au wrong....nilichouliza ni unahusiana nini na serikali?
[emoji124][emoji124]
 
Hivi mwanaume mzima na tena rijali,unajisikiaje kuingiliwa na mwanaume mwenzio?? Unapapaswa makalio nk unajisikiaje??? Wakati huo dude lako limesinyaa or???
Yaani mnakera sanaaa,na siku hizi mnaona kama fashion yaani. Ninyi ndo mnaosababisha majanga nchini!! Mrudieni basi Mungu,ili kuepuka hii laana na dhambi .

Jehanam ipo! Ole wako wewe unaeingiliwa,nawewe unaewaingilia. Maandiko yanasema,mwisho wenu ni katika ziwa la Moto. BADILIKENII
 
Watu wana tamaa sana, unajua mkuu tamaa ndo uwa inatuponza. Na ndo maana ili mtu akushawishi ufanye kitu flani uwa kwanza anakuonyesha what you will earn from that.
Mfano nataka uue, nakuketea briefcase ya pesa nasema ndo malipo ukikamilisha.
Utakataa ila pichs ya fedha itabaki kichwani mwako ukienda unaanza piga hesabu ile pesa ungeifanyia hiki na kile.
Watu wanapenda mseleleko.
Kama humu kuna thread vjana wanatafta mganga wa kuwapa utajiri wa kuishi miaka kadhaa halafu wafe, watashindwaje kuwepo vijana ambao wako tayari kugawa ndogo

Leta hilo brifcase mzee ule mzigo
 
kilifanyika wapi ? ushaidi wa pic unao? ulimuona ? wewe kwenye kikao ulikuwa unatafuta nini? usije kuwa unamchafua mtu kwa mambo yenu binafsi
Kwanza watueleze n kosa la jinai? Kwa sheria kanuni na taratibu zipi?
 
Mh. Mayor hajavunja sheria yoyote hapa ,nani sisi katupa haki ya kuhukumu?mtu akiamua kuwa gay, lesbian au straight ni haki yake, vijana wa dot.com tafuteni fedha katika Maisha yenu!...pale Mother City wenye Pesa nyingi ni lesbian &gays wanapitwa na Jewish!nyie endeleeni kupiga domo
Waambie hao waelewe lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili limenikumbusha jamaa flani alikua anaitwa Mawala hapo Moshi karibu na chuo Cha ushirika alikua anatuhimiwa kuwa ni shoga,familia yake ilikua inaishi Marekani ilidaiwa yeye aliludishwa kwa Sababu hiyo, inadaiwa pia ndo alikua anawapa hela vijana ili kutimiza azma yake.Ushoga ni kinyume na maadili ya jamii yetu tusikubali huu ujinga.
Ujinga n kwako wee, sio kwa watu wote. Khaaaaah
 
Meya yupo sahihi kuunga mkono 'sera ya CCM' ambayo imewahi hadi kutolewa tamko la kidiplomasia kumkana RC mstaafu Makonda.

Baada ya Makonda kuanza operesheni ya kupambana na mashoga, Serikali ilikatiwa 'misaada' na papo hapo ikaambiwa itoe muelekeo. 'Pesa tamu' aisee, Serikali ikamkana Paul, ikasisitiza kulinda HAKI za mashoga na kutobugudhiwa.

CCM kuna muda haijui inasimamia nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngumu kumeza hii.
 
Hakuna sababu ya kuhamishia upande mwingine. Serikali ilishakubali tangu siku nyingi ..... Makonda tu alikuja hapo kati kujitafutia umaarufu.

Kama ni kosa kwa nini wamsakame Meya peke yake wakati wahusika nao wapo. Kwa nini wasichukuliwe hatu kama kwenye ushoga ni jinai Bongo.....!!

Yaani kwa vile CCM wako kimya au wanajiumauma kwenye hili basi watu mnaamini kuwa wako against ...... Tayari nchi ilishawekwa kati kwenye hili na wakasalimu amri ya wakubwa. Yah right ..... Na Brussels!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umma hautaki kukubali, ushoga ni ruksaaaaaah Bongo, weuweeeeeeeeh
 
Back
Top Bottom