Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,245
Meya yupo sahihi kuunga mkono 'sera ya CCM' ambayo imewahi hadi kutolewa tamko la kidiplomasia kumkana RC mstaafu Makonda.
Baada ya Makonda kuanza operesheni ya kupambana na mashoga, Serikali ilikatiwa 'misaada' na papo hapo ikaambiwa itoe muelekeo. 'Pesa tamu' aisee, Serikali ikamkana Paul, ikasisitiza kulinda HAKI za mashoga na kutobugudhiwa.
CCM kuna muda haijui inasimamia nini
kwann?Duhhhh.....
Tayari tumesha kupoteza mkuu
Balaa lote kalianzisha Lissu na lile group la wasagaji kule twitterDah!
Hii ni hatari, CCM baada ya kuachiwa shamba la bibi kisiasa wanaupigia debe ushoga kwa nguvu zote.
Yaani miaka 60 baada ya uhuru, CCM imeamua kuwapelekea ushoga wachaga pale Moshi.
Haya sasa Meya wa Moshi mjini kupitia CCM anaunga mkono ushoga kwa 100%.
Kumekuchaa!
Haitaki lissu afaidi.Hivi kwasababu gani serikali ipinge ushoga?
Duh! hatari sanaBwashee umekasirika sana!
Hata kule Temeke hali ni hiyo hiyo kwa meya wao!
Astaghafilullah!Mh. Mayor hajavunja sheria yoyote hapa ,nani sisi katupa haki ya kuhukumu?mtu akiamua kuwa gay, lesbian au straight ni haki yake, vijana wa dot.com tafuteni fedha katika Maisha yenu!...pale Mother City wenye Pesa nyingi ni lesbian &gays wanapitwa na Jewish!nyie endeleeni kupiga domo
Kwa taarifa yako wanaume Wachagga ndiyo wanaongoza kwa ushoga, usijidanganye kuwa wamepelekewa na CCM. Tutakuwekea hapa majina utashangaa. Kaa kimyaDah!
Hii ni hatari, CCM baada ya kuachiwa shamba la bibi kisiasa wanaupigia debe ushoga kwa nguvu zote.
Yaani miaka 60 baada ya uhuru, CCM imeamua kuwapelekea ushoga wachaga pale Moshi.
Haya sasa Meya wa Moshi mjini kupitia CCM anaunga mkono ushoga kwa 100%.
Kumekuchaa!
Video ya meya akisapoti ushoga.Kinyaa dume limepaka poda,wanja mimacho imelegea ?.
NI mwana ccm kindakindaki tangu chipukiziHuyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine?? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga....???Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
Nikithibitisha ndugu yangu ni shoga, namuwahisha futi sita chini fasta kwa njia yoyote ile.... kuna thread ilianzishwa humu 2 days ago kuhusu ushoga kutamalaki Moshi; I can now connect the dots! Unapata support ya nguvu toka chama chakavu.
Mapumbavu baada ya kuharibu ndugu zao huko pembezoni mwa bahari,wanataka kutuharibia ndugu zetu wa KLM.Dah!
Hii ni hatari, CCM baada ya kuachiwa shamba la bibi kisiasa wanaupigia debe ushoga kwa nguvu zote.
Yaani miaka 60 baada ya uhuru, CCM imeamua kuwapelekea ushoga wachaga pale Moshi.
Haya sasa Meya wa Moshi mjini kupitia CCM anaunga mkono ushoga kwa 100%.
Kumekuchaa!
Ni kweli hiyo ID yako inawakilisha wapenda mchezo huo?Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine?? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga....???Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
Hiyo tabia chafu yakuinamishana mnayo nyie wenyewe uko. Usisingizie watu wasiohusika.Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine?? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga....???Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?
Ndio zao hao.View attachment 2125794
Hali si shwari ndani ya baraza la madiwani la Manispaa ya Moshi ambako madiwani wamekuja juu wakimtaka meya wao, Juma Raibu kujiuzulu fasta baada ya clip moja kusambaa mitandaoni ambako amesikika akiunga mkono mapenzi ya jinsia moja.
Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa mwanaumme mmoja aliyeko kwenye mapenzi ya jinsia moja hapo mjini Moshi na katika salamu zake amenukuliwa akiunga mkono mapenzi hayo na kusisitiza manispaa ya moshi iko tayari kulinda haki zao na kwmaba itawapa ushirkkiano katika kudi haki zao.
Hii iliwaibua madiwani hao na wakambana vilivyo kwenye kikao cha maandalizi ya baraza la madiwani (Pre Council) kilichokuwa na madiwani wengi wa CCM wakimtaka aachie ngazi kwa kile walichodai amewadhalilisha madiwani na baraza zima la madiwani lakini moto ulizisi kuwa mkali kiasi cha madiwnai hao na meya wao kurushiana maneno mazito yaliyopelekea baadhi ya madiwani hasa wanawake kutoka nje ya kikao.
"Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku zote imekuwa haiungi mkono mapenzi ya jinsia moja leo meya anatoa wapi nguvu ya kuunga mkono mapenzi hayo? Kwa kweli hili limetudhalilisha sana sisi madiwani na njia sahihi kwa meya ni kuachia ngazi?,"amesikika diwani moja alipowatonya wanahabari jana wapohudhuria kikao cha baraza la madiwani.
Kutokana na kasheshe hilo,jana madiwani wote wanaotokana na CCM waliitwa kwenye kikao cha ndani ofisi ya CCM Manispaa ya moja na katibu wa CCM manispaa hiyo Ibrahim Mjanaheri kikao kilichofanyika saa nane mchana mara baada ya kikao cha baraza la madiwani kumalizika kwa lengo la kwenda kutliza hali ya hewa.
Hata hivyo leo tena mara baada ya kikao cha barza la madinwai kilichoketi kwa siku mbili jana na leo, madiwani ihao mpaka muda huu wapo kwenye kikao cha ndnai ofisi ya CCM mkosa kikao ambacho kipo chini ya katibu wa CCM mkoa, Jonathan Mabihya leo ni hilo hilo la ktuliza mabo ambayo kwa kwlei yanakwenda kombo.
Hadi muda huu kikao cha madiwani hao na viongozi wa CCM mmkoa kinaendelea,mmoja wa madiwani walioko ndnai ya kikao amesma moto ni mkali sana la lazima juma Raibu ataachia ngani na hilo ni suala la muda tu kama ilivyotokea kwa Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano.
Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja
Hakuna sababu ya kuhamishia upande mwingine. Serikali ilishakubali tangu siku nyingi ..... Makonda tu alikuja hapo kati kujitafutia umaarufu.Huyo Meya ni mtu wa CCM tangu zamani kweli? Hawakumtoa kule kwingine?? Maana kama ana "elements" za ule upande wa pili, za kutetea haki za Mashoga....???Au anawasiliana na yule jamaa wa Brussels?