Meya Songoro: Tumeshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba, tutaomba ihalalishwe wasajiliwe

Meya Songoro: Tumeshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba, tutaomba ihalalishwe wasajiliwe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa

Meya.png

Chanzo: Jambo TV
 
Bora wahalalishe!Wachukue na kodi ili tuache kubanana na kodi sisizo na kichwa wala miguu!Pia wakihalalisha wakague na viwango kama vinaendana na bei,mambo ya kuuziwa elfu50 halafu ukifika ndani **** mdebwedo,utamu hamna,harufu kama panya kafa hatutaki.
 
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni amesema Wameshindwa kupambana na Biashara ya Ukahaba hivyo Wataomba Ihalalishwe na Wasajiliwe Kabisa

Source Jambo TV
Hivi kwa akili ya kawaida serikali huwa inashindwa jambo? Hayo ni maneno yake binafsi, huenda na yeye ni mteja, nashauri 2025 apumzike awaachie kazi wanaoweza
 
Bora wahalalishe!Wachukue na kodi ili tuache kubanana na kodi sisizo na kichwa wala miguu!Pia wakihalalisha wakague na viwango kama vinaendana na bei,mambo ya kuuziwa elfu50 halafu ukifika ndani **** mdebwedo,utamu hamna,harufu kama panya kafa hatutaki.
Wameshindwa kuwaondoa ndiyo waweze kukusanya kodi
 
Mada ni ileile ndio maana nikauliza wamekosa hela mpaka wafikirie kuruhusu ukahaba?

Kukusanya kodi kwenye chanzo kipya sio lazima uwe umekosa hela.

Fikiri upya na uweke siasa pembeni, Meya yuko sahihi sana ila mkwamo utakuja kwenye ule utamaduni wetu wa ustaarabu na hatukuwahi kufanya jambo kama hili.

Mambo ya Serikali kuishiea au kutoishiwa hayana maana hapa.
 
Mahojiano ya afisa wa kodi na kahaba.

Afisa: Mfumo unaonyesha unadaiwa kodi.
Kahaba: Biashara mbaya, mauzo yamepungua njoo eneo la biashara ujiridhishe mpenzi.

Hiyo ni too primitive
Ikifikia hatua Serikali ikahitaji kukusanya kodi itatafutwa namna ya kuchaji kodi digitally na watoza kodi watajifunza kwenye nchi ambazo tayari zinatekeleza hili jambo.

Hela ya hapo ni nje nje alaf ni uhakika sana[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom