Acha kuongea kama hooligan, sometimes tuwe serious kwenye mambo ya msingi.Madiwani wa Chadema wamefisadi fedha za maendeleo!
HakikaKuwalinda ni jukumu letu wananchi.
swali lako ni zuri sanaTuwalinde na kitu gan
Aisee mbona huyo wa nyuma ya meya ni kama mtu asiyejulikana wa puma oil station?View attachment 1325377
Msikilize Saed Kubenea ambaye ni Mbunge wa Ubungo na mjumbe wa vikao vya baraza la madiwani wa jiji la Dar es Salaam
Natambua kwamba kuna moderator hataki kuona nyuzi za mgogoro wa Meya zikiletwa jukwaani , lakini anapaswa kutambua kwamba vyanzo vya kuaminika vya taarifa za mgogoro wa meya wa jiji zitatokana na wajumbe halali wa baraza la madiwani kama alivyo Kubenea
Hizi picha zitunzeni kuna siku mtazihitajiAisee mbona huyo wa nyuma ya meya ni kama mtu asiyejulikana wa puma oil station?
Aisee mbona huyo wa nyuma ya meya ni kama mtu asiyejulikana wa puma oil station?
View attachment 1325377
Msikilize Saed Kubenea ambaye ni Mbunge wa Ubungo na mjumbe wa vikao vya baraza la madiwani wa jiji la Dar es Salaam
Natambua kwamba kuna moderator hataki kuona nyuzi za mgogoro wa Meya zikiletwa jukwaani , lakini anapaswa kutambua kwamba vyanzo vya kuaminika vya taarifa za mgogoro wa meya wa jiji zitatokana na wajumbe halali wa baraza la madiwani kama alivyo Kubenea
Habari ya mwita ishakwisha,tuletee mambo mengineView attachment 1325377