Meya wa Dar es Salaam, Isaya Mwita achukuliwa na Polisi akiwa kwenye kikao

Meya wa Dar es Salaam, Isaya Mwita achukuliwa na Polisi akiwa kwenye kikao

Idara ya usalama wa CCM itakua imehusika
Ni wakati wa Chadema nao kuanzisha Hit squad yao. Unamteka Meya wao nao wanamteka Mkurugenzi jiji. Yaani ni tit for tat hadi kuheshimiana.
Nakumbuka kule Kenya baada ya ujinga kuzidi ndio mambo ya Mungiki nayo yakazaliwa na heshima ikarudi.
Sio mambo mazuri, lakini ukiishi na 'mpumbavu' ili akuelewe basi nawe mfanyie 'upumbavu'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuongea kama hooligan, sometimes tuwe serious kwenye mambo ya msingi.
Unalolijua liweke wazi ili tuwasulubu, tumechoka na mambo ya kitoto ndani ya jiji letu. Kama Mkuu wa mkoa analeta mkanganyiko basi waseme tuu tujue hata kama hawezi ondolewa na aliyemuweka ni vema tujue na tuweke kumbukumbu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajua wanachogombea. Si upinzani wala hao wa CCM wanaojitokeza kuelezea kinagaubaga tatizo lililopo. Waache wanyukane kimyakimya anayeumia anaibukia mitandaoni kusiko na msaada.
 
Kikao cha Kamati ya Fedha na Uongozi Halmashauri ya Jiji la DSM kimefanyika chini ya ulinzi wa Polisi baada ya kuibuka kwa malumbano baada ya Wajumbe wanaomtambua Isaya Mwita kuwa Meya kutaka aongoze kikao hicho huku wasiomuunga mkono wakitaka Naibu wake Abdalla Mtinika aongoze.
•
Inaelezwa kuwa Meya Mwita alikuwa wa kwanza kuendesha kikao hicho cha Kamati ya Fedha na Uongozi Halmashauri ya Jiji la DSM, lakini Polisi walifika na kumtoa kisha Naibu Meya Mtinika akaendelea kukiendesha chini ya ulinzi wa Polisi.
FB_IMG_1579255714096.jpeg
FB_IMG_1579255718791.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili sakata ni zito aisee, jamaa amekomaa na cheo chake na mpaka akafika eneo la tukio na kuongoza kikao kwa muda mfupi
 
Napolisi wapewe nafasi za kisiasa ili iwe sahihi kwao kuwapangia wanasiasa nini wafanye
 
Back
Top Bottom