Tetesi: Meya wa Ilala ndiye aliyemdhalilisha Rais Magufuli

JPM hana muda wa kunywa juice, chai na mikate huku akipiga soga zisizokuwa na faida kwa walipa kodi. Huyu nasikia mpaka usiku yupo ofisini anapiga mzigo, wale wanaotafuta popularity ya bei ndogo, yaani waandike maumivu.
 
Uzi umeandika ukiwa chooni...!!
 
***
thanks for shits_/
 
RC wa mkoa fulani kanda ya Pwani aliitisha mkutano wa hadhara.......katika mkutano huo kulikuwa na viongozi wa ngazi ya chini yake pamoja na wananchi wa kawaida. Mwnyekiti mmoja wa kijiji alikuwa anasinzia muda wote wa mkutano.........RC katika kuhimiza wananchi kujitolea kujenga barabara aliuliza, "Nani anapenda maandaki?"
yule mwenyekiti wa kijiji akakurupuka na kuitikia, "Mimi mheshimiwa". watu wote,"aaaaaaaaaahhhhhhhhh!!!!!
RC akamuuliza kwa vipi yeye anapenda maandaki? Mwenyekiti akashtuka na kusema, "samahani Mh. nilifikiri umesema nani anapenda MAANDAZI
 
JPM hana muda wa kunywa juice, chai na mikate huku akipiga soga zisizokuwa na faida kwa walipa kodi. Huyu nasikia mpaka usiku yupo ofisini anapiga mzigo, wale wanaotafuta popularity ya bei ndogo, yaani waandike maumivu.
kumbe...unasikia....teh...
 
Hapa njaa itakuua !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…