Tetesi: Meya wa Ilala ndiye aliyemdhalilisha Rais Magufuli

Buku 7 bongo zao zishaathirika, Yamebaki mazezeta tu. Hapo umeandika ujinga mtupu?!
 
Wakati mwingine sioni maana yakuanzisha thread zinazo mkashifu rais wakati ukweli upo wazi kabisa kuwa huyu meya alikuwa na mpango mchafu kuchafuwa shughuli ya kuweka jiwe la msingi kwenye madi mkubwa wa umeme wa gas. Nivile rais wetu ni mpole some time hanamuda wakukimbiza upepo umemfanya mleta mada kuleta uzushi kwa sababu zake binafsi.

Hizi ndi dharau za meya wa chama Fulani maana sikuizi hata jina sitaki kulitaja maana soon hatuna aina ya chama hicho.

Hakuudhuria huo ufunguzi na badala yake akaweka jiwe kwa niaba yake kisa chakutoudhuria nikujuwa ataabika maana alisha anzisha dharau tangu hapo mwanzo kwa mkuu.

Pili huyu bwana aliwahi kunukuliwa wakati Fulani akiubeza mchango wa rais ktk shule za msingi kwa kusem hana haja na hizo pesa wakati vijana wana shida ya madawati.

Tatu inasemekana ni mmoja ya watu wanatia fujo ktk uchaguzi wa meya wa jiji huku akiwa mwana mtandao ndani ya chama Fulani kuharibu uteuzi wa meya wajiji.

Nne kama ilivyo kawaida yao mpango huu ulisha pangwa ili tu kumuharibia rais shughuli alienda kuifanya, ujuwe hawa jamaa tangu washindwe wana mipango ya chini kwa chini kukiujumu chama tawala lakiniwataisoma namba kama walivyo isoma namba ktk uchaguzi mwaka jana.

Poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hapo ni tunasema anajimiminia petroli mwenyewe, sasa moto utakapomuwakia asijelalamika- sisi watazamaji tu
 
Mbona inasemekana zimekuwa nyingi ina maana ni uongo umejitungia tu, subiri pengine utapewa ukuu wa wilaya
 
Wakati mwingine sioni maana yakuanzisha thread zinazo mkashifu rais wakati ukweli upo wazi kabisa kuwa huyu meya alikuwa na mpango mchafu kuchafuwa shughuli ya kuweka jiwe la msingi kwenye madi mkubwa wa umeme wa gas. Nivile rais wetu ni mpole some time hanamuda wakukimbiza upepo umemfanya mleta mada kuleta uzushi kwa sababu zake binafsi.

Hizi ndi dharau za meya wa chama Fulani maana sikuizi hata jina sitaki kulitaja maana soon hatuna aina ya chama hicho.

Hakuudhuria huo ufunguzi na badala yake akaweka jiwe kwa niaba yake kisa chakutoudhuria nikujuwa ataabika maana alisha anzisha dharau tangu hapo mwanzo kwa mkuu.

Pili huyu bwana aliwahi kunukuliwa wakati Fulani akiubeza mchango wa rais ktk shule za msingi kwa kusem hana haja na hizo pesa wakati vijana wana shida ya madawati.

Tatu inasemekana ni mmoja ya watu wanatia fujo ktk uchaguzi wa meya wa jiji huku akiwa mwana mtandao ndani ya chama Fulani kuharibu uteuzi wa meya wajiji.

Nne kama ilivyo kawaida yao mpango huu ulisha pangwa ili tu kumuharibia rais shughuli alienda kuifanya, ujuwe hawa jamaa tangu washindwe wana mipango ya chini kwa chini kukiujumu chama tawala lakiniwataisoma namba kama walivyo isoma namba ktk uchaguzi mwaka jana.

Poleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hahahahahahahaa wazazi wako wana hasara kubwa sana bora Mzee wako angekupee toi.
 
Wakati mwingine sioni maana yakuanzisha thread zinazo mkashifu rais wakati ukweli upo wazi kabisa kuwa huyu meya alikuwa na mpango mchafu kuchafuwa shughuli ya kuweka jiwe la msingi kwenye madi mkubwa wa umeme wa gas. Nivile rais wetu ni mpole some time hanamuda wakukimbiza upepo umemfanya mleta mada kuleta uzushi kwa sababu zake binafsi.

Hizi ndi dharau za meya wa chama Fulani maana sikuhizi hata jina sitaki kulitaja maana soon hatuna aina ya chama hicho TZ.

Hakuudhuria huo ufunguzi na badala yake akaweka jiwe kwa niaba yake kisa chakuto hudhuria nikujuwa ataaibika maana alisha anzisha dharau tangu hapo mwanzo kwa mkuu wa nchi.

Pili huyu bwana aliwahi kunukuliwa wakati Fulani akiubeza mchango wa rais ktk shule za msingi kwa kusema hana haja na hizo pesa wakati vijana wana shida ya madawati wilaya yake.

Tatu inasemekana ni mmoja ya watu wanatia fujo ktk uchaguzi wa meya wa jiji huku akiwa mwana mtandao ndani ya chama Fulani kuharibu uteuzi wa meya wajiji.

Nne kama ilivyo kawaida yao mpango huu ulisha pangwa ili tu kumuharibia rais shughuli alienda kuifanya, ujuwe hawa jamaa tangu washindwe wana mipango ya chini kwa chini kukiujumu chama tawala lakiniwataisoma namba kama walivyo isoma namba ktk uchaguzi mwaka jana.

Elimu ndogo itawale Elimu kubwa
hupati hata ukatibu Tarafa maana hata post yako imekaa kividudu vidudu

Ukweli yule jamaa kwa matamko yake ya mwanzo mwanzo tu baada ya kupata Umeya sioni sababu ya ccm kufanya naye kazi, labda kwanza atubu la sivyo anatakiwa ajifunze kwamba kuna protocol katika kila nchi
 
Back
Top Bottom