- Thread starter
- #41
Umeona maigizo hayatoshi kwenye Tv na Magazeti umeamua kuleta humu jf Maigizo
mwana habari uru wakati mwingine ukweli lazima usemwe ili kulinda heshima ya taifa hili. Kama kweli mnajambo lakukosoa ccm au Rais wa jamuhuri ya muungano Tz kosoeni lakini msitengeneze thread kumchafuwa rais alie jitoa kuleta mabadiliko ndan na nje ya taifa hili, kama karata yakutoka kisiasa. Tuseme kweli nia yenu sio njema hata kidogo kama ni njema niambie kwani meya hakuwepo? Kwanini aliweka jiwe badala yake? Je hakuwa na mwaliko? Au nidharau alizofundishwa? Sasa amejibiwa akazidi kulalamika. Ukidharau watu na wewe unadharauliwa. Mbaya zaid alipo mdharau amiri jesh mkuu hakujibiwa ila leo yeye hajatajwa dunia nzima anatangaza. Huu ni unafiki mkubwa sana.