Tetesi: Meya wa Ilala ndiye aliyemdhalilisha Rais Magufuli

Buku 7 bongo zao zishaathirika, Yamebaki mazezeta tu. Hapo umeandika ujinga mtupu?!
 
hapo ni tunasema anajimiminia petroli mwenyewe, sasa moto utakapomuwakia asijelalamika- sisi watazamaji tu
 
Mbona inasemekana zimekuwa nyingi ina maana ni uongo umejitungia tu, subiri pengine utapewa ukuu wa wilaya
 


Hahahahahahahaa wazazi wako wana hasara kubwa sana bora Mzee wako angekupee toi.
 
 
Ukweli yule jamaa kwa matamko yake ya mwanzo mwanzo tu baada ya kupata Umeya sioni sababu ya ccm kufanya naye kazi, labda kwanza atubu la sivyo anatakiwa ajifunze kwamba kuna protocol katika kila nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…