Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

MSIMBEZE HUYO BW. MEYA KWA SABABU KUU 2.

KWANZA, NI HAKI YAKE KIKATIBA AKITAKA KUJITOA CHAMA FULANI NA KUJIUNGA NA KINGINE NI RUKSA TUU.

PILI, ALICHOKIELEZEA NI CHA UKWELI RAIS HUYU NI MTEKELEZAJI.

SASA HEBU KUWENI WA WAZI, MWATAKANI ENYI WABONGO??
 
Huyo alishahama siku nyingi, amejiunga na mafisi wenzie bila aibu.
Akumbuke machalii wa mtaa ndo walimfikisha hapo, sasa amewasaliti.
CHADEMA itajengwa na wenye moyo wa juvumilivu.
CCM wanatembeza rushwa dhuluma na vitisho kama kawaida yao.
Kwa heri Kalist!!
 
Back
Top Bottom