ngombemtotowandama
New Member
- Jul 5, 2019
- 4
- 4
Mwanaume wa Tz hawana msimamo ,unashindwa kuwa na msimamo,njaa tuKwa msiojua kilichokuwa kinaendelea tazameni video hii
Mwanaume wa Tz hawana msimamo ,unashindwa kuwa na msimamo,njaa tuKwa msiojua kilichokuwa kinaendelea tazameni video hii
Wa kuunga juhudi za mweshimiwaUkweli upi ?
Hii ni sizitaki mbichi hizi. Mngemuondoa basiKwa msiojua kilichokuwa kinaendelea tazameni video hii
Unaushaidi wa haya ?
Naunga mkono hoja, sio tuu amechagua njia sahihi bali amejitambua na ameona mbali.
![]()
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Baada ya matokeo ya serikali za mitaa, kuelekea 2020, tutashuhudia the mass exodus ambayo itahitimishwa na uchaguzi Mkuu wa 2020, then we all Tanzanians will be one, under One State, One Nation, One President, One Party.
P
Mkuu Kawe Alumni, kiukweli kabisa Tanzania tuna wapinzani wa adabu, ile Magufuli anaingia tuu, huyu mtaalam wa sayansi ya siasa aliwaambia kila kituMagufuli Amefanya Wapinzani waonekane hawana Kazi
Kwani anafanya zaidi ya kile wanachokilalamikia
Mkuu Kawe Alumni, kiukweli kabisa Tanzania tuna wapinzani wa adabu, ile Magufuli anaingia tuu, huyu mtaalam wa sayansi ya siasa aliwaambia kila kitu
![]()
Je, Kasi ya Magufuli itaua Upinzani Uchwara na Kuimarisha Upinzani Makini? - Prof. Kitila Mkumbo
Wanabodi, Leo asubuhi nimepata fursa ya kufuatilia mjadala live wa Star TV kuhusu kasi ya Magufuli kwenye kupambana na Rushwa na Ufisadi ambapo wageni waalikwa ni Renatus Mkinga na Prof. Kitila Mkumbo wa Chuo Kikuu cha DSM. Prof. Kitila ameuita upinzani wa Tanzania ni upinzani uchwala...www.jamiiforums.com
Sasa wanamsubiri 2020 to be wiped, ndipo waanze kupiga kelele.
P
Zaidi ya hela ni kipi unahitaji zaid maisha hayaInaumiza pale mwanaume na utu wako unavyo tongozwa na mwanaume mwenzako then unaingia line....kisa vijisent, poor major
Posho ya buku 7 haiikutoshi? Si huwa mnapewa bando la wiki nzima pale lumumbaHatuna MB, Tusimulie ilikuwaje mkuu.
Naelewa na kuikubali hiyo sababu kuu ya Jiwe; lakini huwezi kujifanya huoni mchango wa mamluki katika kuwadhoofisha CDM.Siyo sababu hii, sababu kubwa ni udikiteita wa Jiwe. Ruhusu demokrasia itawale uone kama CDM haisongi mbele! Ruhusu shughuli za kisiasa upate good assessment ya kauli yako. Unafanyaje siasa/unasongaje mbele wakati umefungwa mikono, miguu, mdomo, risasi, jela etc!
Una uhakika CCM wana wanachama waaminifu? CCM ikitka madarakani leo utamuona mtu kule? Nimeandika humu, KANU ya Kenya /Kenytta iko wapi? UPC ya Obote iko wapi? UNIP ya Kaunda Zambia iko wapi? MRND ya habyalimana iko wapi? and many many others. Kama umri wako ni mdogo historia huwezi kuimudu. Mwenye umri mkubwa hawezi kuandika kama wewe maana ana long life experience ya haya mambi ya siasa za Afrika. UNAFIKI! Jiwe akitoka madarakani Polepole hutamuona, wala Bashiru maana KULA haipo!hama hakina uwezo wa kuwatambua wanachama wake wenye dhamira ya kweli kwenye mambo yote yanayosimamiwa na chama? Inakuwa mbaya zaidi, hawa hawa mamluki wanapoaminiwa na kupewa nafasi za uongozi ndani ya chama.
Mkuu 'Retired', kati ya watu ninaowakubali kwa misimamo madhubuti na iliyonyooka katika wanayoyaamini ni wewe.Una uhakika CCM wana wanachama waaminifu? CCM ikitka madarakani leo utamuona mtu kule? Nimeandika humu, KANU ya Kenya /Kenytta iko wapi? UPC ya Obote iko wapi? UNIP ya Kaunda Zambia iko wapi? MRND ya habyalimana iko wapi? and many many others. Kama umri wako ni mdogo historia huwezi kuimudu. Mwenye umri mkubwa hawezi kuandika kama wewe maana ana long life experience ya haya mambi ya siasa za Afrika. UNAFIKI! Jiwe akitoka madarakani Polepole hutamuona, wala Bashiru maana KULA haipo!
Rafiki mbona sijakushutumu. Nilikuwa najaribu kukuuliza kama CCM hakuna mamluki? Kule wapo na kuna wengine wametoka CDM wamepewa madaraka! Kwa vile wako mezani wanakula, si rahisi kuwagundua.Mtu anakuwa na unafiki of the highest degree! Definitely Magufuli ni njia ya kuwashawishi wahame CDM ife!Mkuu 'Retired', kati ya watu ninaowakubali kwa misimamo madhubuti na iliyonyooka katika wanayoyaamini ni wewe.
Si hivyo tu, najua unao uelewa wa mambo na ukisoma unakielewa ulichokisoma.
Sasa tafadhari ninakuomba kwa heshima yako, ni wapi nilipoandika katika mabandiko yangu mawili hapo juu kuwasifu CCM.
Nitaomba radhi ikibainika nimefanya hivyo.
Na kama utasoma kwa utulivu na kugundua kwamba uliyonishutumu nayo hapa kuhusu CCM sio kweli, nitaziona busara zako na uungwana kwa kuonyesha hivyo.
Kuhusu hivyo vyama vyote ulivyovitaja, huo ni mjadala mwingine, na ikibidi nitakujibu kuhusu hilo.
Karibu ya michango yangu yote humu JF, msimamo wangu juu ya hili unajulikana, kwa hiyo sina sababu kabisa ya kulijibu hili.Unasemaje kama Rais asingelizuia kufanya siasa, zikafanywa kama wakati wa Kiwete with freedom but within the confines of law?
Kwani hajui kuwa wagombea wa upinzani wameenguliwa? Kwani huyu katoka nchi gani?Meya wa Jiji la Arusha (Chadema), kalisti lazaro leo Novemba 19, 2019 amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi
Amesema amefikia uamuzi huo baada ya kupitia wakati mgumu kutoka kwa uongozi wa chama chake ikiwamo kupokea barua za onyo mara kwa mara ambazo zilimtaka kutokutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali ambao anatakiwa kufanya nao kazi ngazi ya Mkoa na Wilaya na kutompongeza hadharani Rais Dk. John Magufuli.
Kalisti Lazaro amenena kwamba,
"Nimekuwa nikifanya kazi katika mazingira magumu nakutana na changamoto, nimeshletewa barua nyingi za onyo kwa sababu ya kumsifia Rais, lakini pia siwezi kukaa chama ambacho kimejitoa kwenye Uchaguzi, leo Arusha inaenda kuwa ya CCM sababu wenzetu wamejitoa."
"Nitaendelea kuwa Mwanasiasa kwa sababu niwaombe wananchi wa Kata yangu, nitaendelea kuwatumikia kwa nafasi nyingine ambayo chama changu itaamua mimi nirudi"
Pia soma
![]()
Meya wa Jiji la Arusha amuomba Rais Magufuli afike kupokea Shukrani za wanaArusha!
Meya wa Jiji la Arusha Mheshimiwa Kalist Lazaro amemuomba mkuu wa Mkoa wa Arusha amualike Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli jijini Arusha ili aje kupokea Shukrani na pongezi badala ya malalamiko. Meya Lazaro ametaja baadhi ya miradi ya mfano na mafanikio iliyofanywa na Serikali jijini Arusha...www.jamiiforums.com
![]()
Kalisti Lazaro ajiuzulu Ukatibu wa CHADEMA Mkoa wa Arusha, nafasi yake yajazwa na Elisa Mungure
Mpasuko ndani ya chadema. Huko Arusha Meya wa Arusha Kalisti Lazaro ambaye pia alikua ni Katibu wa chadema wa mkoa amevuliwa uongozi huo Jana jioni Ikumbukwe Kalisti Lazaro alikuwa mwiba mkubwa kwa marehemu Ndesamburo katika kinyang'anyiro cha uenyekiti wa kanda ya kaskazini,'ujenzi Mnara wa...www.jamiiforums.com
Amehitimisha tu safari aliyoianza muda mrefu. Mbona alikuwa anajulikana na amevumiliwa muda mrefu. Hongera Chadema kwa kuondokeawa na dumuziHuyu alishaunga mkono juhudi siku nyingi.
Mbona hawajamvalisha 'sanda' ya kijani? Naona yuko na mavazi ya kiraia tu. kwa nini. anatakiwa a mechi na huyo mdudu.Meya wa Jiji la Arusha (Chadema), kalisti lazaro leo Novemba 19, 2019 amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi