Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Mwache achukue mpunga, jiwe ana hela za kununua wapinzani ila hana hela za kununulia madawa hospitali, madawati, kuajiri, kulipa pesheni, kupandisha mishahara, hana hela za kulipa wakulima.
 
Mfanyabiashara wa kimataifa, huna hata hela ya Bundle??
Sikumbuki mwaka nilioishiwa bundle , wala hata sifahamu mnakwanguaje vocha , bali ninachojua ni kwamba natumia zaidi ya madafu mil 1 unusu kulipia mawasiliano kila mwezi .
 
Badala ya uongozi wa nchi kudeal na matatizo ya watanzania, wanahangaika kununua wapinzani kila kukicha, madirisha yanafungwa na kufunguliwa bila hata taarifa.
 
wala hatulalamiki bali tunafafanua tu
Kwa bahati mbaya sana Erythro, viongozi kama hawa wasiokuwa na 'commitment' na chochote ila tumbo lao mnao wengi sana ndani ya chama. Hawa ndi wanaowadhoofisha hata msisogee mbele.

Huko CCM ndio sisemi kabisa. Huko ni jalala kabisa la wenye njaa. Upepo ukigeuka ndio utaona jinsi watu wasivyokuwa na vichwa, bali wana viwiliwili tu!

Nchi yetu hii tuna matatizo makubwa.
 
Mwacheni kalsti amechagua njia sahihi
Naunga mkono hoja, sio tuu amechagua njia sahihi bali amejitambua na ameona mbali.


Baada ya matokeo ya serikali za mitaa, kuelekea 2020, tutashuhudia the mass exodus ambayo itahitimishwa na uchaguzi Mkuu wa 2020, then we all Tanzanians will be one, under One State, One Nation, One President, One Party.

P
 
Naunga mkono hoja, sio tuu amechagua njia sahihi bali amejitambua na ameona mbali.


Baada ya matokeo ya serikali za mitaa, kuelekea 2020, tutashuhudia the mass exodus ambayo itahitimishwa na uchaguzi Mkuu wa 2020, then we all Tanzanians will be one, under One State, One Nation, One President, One Party.

P

Lakini bwana Mayalla, kwanini tusitumie njia ya kubadili katiba tu kiurahisi tu, ili kuondoa watu watakaokuwa wanachaguliwa na kazi ni kusifia tu ili kulinda nafasi zao, bali watakaochaguliwa kwa weledi wao na ufanisi, maana maendeleo hayawezi kuletwa na mtu mmoja juu huko... Nimesoma uzi huo ulioUattach hapo, it is possible kuwa kama china kweli kama hatutalifanya hili suala kuwa la kitaifa badala ya kisiasa
 
Huyu ndo mbunge wa Arusha mjini kwa hiyo mheshimu tafadhali
 
Amebaki mmoja Mh. Isaya Doita diwani wa Ngarenaro na mwenyekiti wa parokia ya Roho Mtakatifu (kwa Father Babu).
Namuomba afanye maandalizi mapema kabisa ili tumpatie kadi yake.
Huko aliko siko....arudi nyumbani kumenoga.
 
Hawa ndi wanaowadhoofisha hata msisogee mbele.
Siyo sababu hii, sababu kubwa ni udikiteita wa Jiwe. Ruhusu demokrasia itawale uone kama CDM haisongi mbele! Ruhusu shughuli za kisiasa upate good assessment ya kauli yako. Unafanyaje siasa/unasongaje mbele wakati umefungwa mikono, miguu, mdomo, risasi, jela etc!
 
Atafanya nini huyo Mbowe, nchi hii kama huna maamuzi ya vyombo vya dola huna lolote unaloweza kufanya dhidi ya wapinzani wako. Ukitaka kufanya lolote nchi hii na sheria ziwe kimya uwe na uwezo wa kuviamuru vyombo vya dola.
Very pathetical answer!
 
Back
Top Bottom