Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Ni miongoni mwa vijana wachache wazalendo wanaoiletea nchi pesa za kigeniMfanyabiashara mkubwa wa kimataifa!!
Ni miongoni mwa vijana wachache wazalendo wanaoiletea nchi pesa za kigeniMfanyabiashara mkubwa wa kimataifa!!
Aachwe aende anapopapenda mkuuKwa msiojua kilichokuwa kinaendelea tazameni video hii
Roma Mkatoliki , vivaKumbe CCM wamepiga Bomu Mochwari hahahahahah
Kabla ya yooooote, laana itawamaliza waliompiga Lisu risasi just for no apparent reasonsChadema ni mabingwa wa kuchafua lakini hii laana itahakikisha inamlipa kila mmoja. Mbona mambo bado sana ....[emoji41][emoji41][emoji41]
Mfuasi wa Dr Slaa karibu jukwaani , kuleni bata lakini siku yenu yajaChadema ni mabingwa wa kuchafua lakini hii laana itahakikisha inamlipa kila mmoja. Mbona mambo bado sana ....[emoji41][emoji41][emoji41]
Kwa nani? Mnaweka rekodi baada ya kuondoka? Kwahiyo, siku na Mbowe akiondoka mtaweka rekodi sawa? Lissu je? Kwanini msiweke sasa hivi tukajua mapema?Usipaniki. Anaweka records sawa tu.
Wewe Mwenyewe unadharaulika huko ulipo, wasaliti wakubwa .Dogo kata Mbowe siku hizi anakudharau
Nyoooo!!! Kama una ubavu mjadili Mbowe na mkosoe kwa kung'ang'ania uwenyekiti tuone!Kwani nani kaenda nyumbani kwake kumteka? Huku jukwaani wanajadiliwa mpaka marehemu itakuwa hiyo mpigania tumbo aliye hai.?
Nyoooo!!! Kama una ubavu mjadili Mbowe na mkosoe kwa kung'ang'ania uwenyekiti tuone!
Wapi ameonekana amelipwaKuunga mkono ni lazima ulipwe ?
Cha msingi karudi nyumbani kumenoga mengine yote hayana maana kwa sasaHabar za kudadavuwa. Upo mpenzi Wang? Mbowe alikufanya nini, nambie
umeondolewa kwenye kundi la wanaolipwaHatuna MB, Tusimulie ilikuwaje mkuu.
Elia Michael naye kasepa kijeuriKwa msiojua kilichokuwa kinaendelea tazameni video hii