Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Duh.. Kumbe ni wajinga hivyo?
Nilifikiri wakitishiwa wanatoka hadharani ili dunia na watz wajue mbivu na mbichi.
. Kwahiyo kumbe hata wakipewa nchi wakitishiwa tu wanatuuza hata sisi watz tukiwa ndani na hai kabisa?
Na akiwa CCM atakuwa kiongozi wako.
 
Duuh!! Kufikia mwaka 2020 Sisi wapiga kura tutakuwa tushafahamu mengi Sana yanayoendelea ndani ya hivi vyama vya kisiasa. Kumbe huwa Kuna maonyo makali yanatolewa ikitokea umesifia Kazi nzuri zinazofanywa na serikali??.
Hakika hivi vyama vya upinzani havina Nia njema kabisa na Nchi hii.. Maji na mchanga kufikia 2020 vitakuwa vimejitenga.
Hata ukiipinga unaweza kupewa onyo au kuwa pyuu pyuued!!
 
Hivi inakuwaje wananunuliwa?
Wakipewa nchi hatutauzwa kweli?
Mchina akifika dau au Mwarabu tutauzwa wote kama wameshindwa kukabiliana na mnada Wa ccm hiki sio chama cha kumkomboa mtanzania
Sasa hao walionunuliwa ndio wanaenda kuwa viongozi CCM, unategemea hiyo nchi itakuwaje
 
Hivi inakuwaje wananunuliwa?
Wakipewa nchi hatutauzwa kweli?
Mchina akifika dau au Mwarabu tutauzwa wote kama wameshindwa kukabiliana na mnada Wa ccm hiki sio chama cha kumkomboa mtanzania

..kama wamenunuliwa kutoka cdm ina maana hata wakiwa ccm wanaweza kununuliwa na mtu mwingine, na kwa jambo lingine, ambalo linaweza kuwa na athari mbaya kwa nchi.

..wana ccm wanaoshawishi au kushinikiza watu wajiunge na chama chao kwa kutumia FEDHA siyo watu wa kuaminika. Ni nadra kukuta mtu nayetoa rushwa kwa wengine, halafu yeye hapokei rushwa.
 
Mtu makini hawezi kukaa Chadema.

Siasa za Tanzania ni uhuni mtupu na ubabaishaji wa CCM kwa kuminya Demokrasia...!
Angalia nchi zenye True Democracy kama Marekani ulishasikia mwanachama wa Democratic Party akahamia Republic Party??CCM wameiteka nchi kwa ujambazi wao wa kuhujumu vyama pinzani kwa kuvinyima uhuru wa kujieleza,kufanya mikutano ya kisiasa na kufanya Chaguzi Huru na Haki. Kwa vile Watz hawakuwahi kuzoea siasa za kihuni kama hizi wengi wanaamua kurudi huko huko kwa wahuni ili bora mkono uende kinywani...!!!
 
Trump alikuwa Democrats kabla ya kuwa Republican
 
Nakuona kwenye ubora wako
Sasa jomba utakaaje kwenye saccos,. Utatekeleza vipi ahadi kwa wananchi.hicho ni chamaa Cha kuweka na kukopa ..Kama unataka biashara hiyo Basi mswano tu huko
tapatalk_1567627458569.jpeg
 
Back
Top Bottom