Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Mungu ndiye mwenye kuangalia malengo ya leo kama kesho yatakuwa na manufaa.Ukizidiwa huna jinsi ila kujifariji.Na wengine tunaangalia 15 years to come wakati kuna wanaoangalia ushindi wa kishindo na Tanzania ya kijani!
Tanzania hata ikiwa nyekundu mwenye kuhukunu ni mmoja tu.