Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Mtu makini hawezi kukaa Chadema.
Tena kachelewa kuondoka, leo nimeingia Arusha jioni hii, katika pita yangu nimekuta mahali gari la ccm liko na watu wake wa kampen. Nilichokiona wale watu wa ccm wamefungulia mziki kwa nguvu, kisha wako kama watu wanaotaka shari maana wanajua hawakubaliki. Mkao wao ni kama wanaangalia mtu awazomee ili wampige kwani kwa nyuma kuna gari la polisi ambalo litatoa msaada kwa hao wanaccm. Ukweli ni kuwa watu wakikuchoka wamekuchoka hata uwalazimishe vipi. Huyo Meya kahamia ccm ili aendelee kupata madaraka, lakini anajua fika hana watu, lakini kwakuwa lengo lake ni kupata madaraka anaweza asijali sana, ila anajua fika kwa Arusha ccm haipo mioyoni kwa watu.