Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Leo hii aliyekuwa meya wa Arusha mjini ndugu Lazaro amehamia rasmi ccm.
Hongereni sana makamanda kwa kujipanga kivingine kuimaliza ccm
Screenshot_20191119-170534.jpeg
 
Hongera sana lakini usiseme sana kwani utaulizwa "kwa nini hukuyasema mwanzoni?"
Anyway,ngoja tuandike kidogo.

Hivi Chama tawala kinaamini katika jambo gani?Kibaki peke yake bila ushindani wowote?Kama ndiyo mawazo yao kwa kweli "wameisimamisha saa ili kuhifadhi muda"hakuna wanachokifanya.

Kwa hali hii wabunge wote machachari wa upinzani hawatarudi bungeni lakini kama mwanafunzi wa darasa la saba anavyofurahia kumaliza shule bila ya kujua kuwa ndio kwanza shule inaanaza ni hivyo hivyo kwa CCM.
 
CCM impe ugombea ubunge Arusha mjini Ni meya pekee wa upinzani aliyekuwa akitoa ushirikiano kwa serikali kwa Maendeleo ya jiji lake.

Kama sivyo agombee udiwani awe meya Tena ubunge apewe Profesa Ole Gabriel
 
Kumbe biashara bado inaendelea? Bado wa Ngarenaro nae soon ataunga juhudi
 
Back
Top Bottom