Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Hii ni moja ya bombadier tulizoambiwa zitaendelea kununuliwa, hongera sana mheshimiwa jiwe.
 
Ngoma inogile, Lema ,mtu wa CCM utakaye pambana nae kwenye kinyanganayiro cha ubunge 2020 kupitia tiketi ya CCM ni huyu Kalisti, piga ua na atakutoa nokauti.

Mpaka tunafika 2020 penye uhai ni bora usigombee kutunza heshima yako.
Mambo ni magumu sana
 
CCM impe ugombea ubunge Arusha mjini Ni meya pekee wa upinzani aliyekuwa akitoa ushirikiano kwa serikali kwa Maendeleo ya jiji lake.

Kama sivyo agombee udiwani awe meya Tena ubunge apewe Profesa Ole Gabriel
Unaposema apewe ubunge ni mihogo au pipi! Naalabuk
 
Papaa Mobimba,

Hakuna kitu chochote ambacho Wapinzani hawakukijua kabla, kwasababu tangu ile Magufuli anaingia, mtaalamu huyu wa sayansi ya siasa, alisema kila kitu.
P
 
CCM impe ubunge na unaibu waziri Kama sivyo arudishwe udiwani na umeya au apewe ukuu wa wilaya Arusha mjini ubunge apewe katibu mkuu wa wizara Profesa Ole Gabriel mchapakazi wa uhakika
Unadhani Arusha mnagawa ubunge na udiwani kama Ruangwa au Kongwa? Marabuku!
 
Back
Top Bottom