Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

CCM impe ubunge na unaibu waziri Kama sivyo arudishwe udiwani na umeya au apewe ukuu wa wilaya Arusha mjini ubunge apewe katibu mkuu wa wizara Profesa Ole Gabriel mchapakazi wa uhakika
 
ninachokijua Mimi ni kuwa,hata wabunge wote wakawa CCM,madiwani wote wakawa CCM,wenyeviti wote wakawa CCM,Mimi na wewe walalahoi tutaendelea kuipata shida.

endelea kufurahia wapinzani kuhama/kununuliwa hapa jukwaani lakini ukipanda kitandani usingizi haupati kwa mawazo yanasababishwa na ugumu Wa maisha.
 
Bado hela zetu za kodi zinatumika vibaya kununua wapinzani?!
FB_IMG_1572364112521.jpeg
 
Karibu nyumbani Meya Makini asiyejali siasa bali maendeleo ...karibu sana kujiunga na Jeshi kamili la kuleta maendeleo yenye tija na vionjo vya kitanzania.

CCM OYEEE
Wenye akili tunashukuru kirusi kiling'ang'Ania sana. Amefanya vizuri kujiunga nawe. Sasa siyo jingalao tena bali majina yao
 
CCM impe ubunge na unaibu waziri Kama sivyo arudishwe udiwani na umeya au apewe ukuu wa wilaya Arusha mjini ubunge apewe katibu mkuu wa wizara Profesa Ole Gabriel mchapakazi wa uhakika
CCM impe Ubunge kivipi?kwani ubunge unatolewa na CCM ama wananchi?Ye labda wampe cheo katika kamati ya manunuzi ya Chama cha Mapinduzi,Zwazwa wewe.
 
Hii ni baada ya kampein za kidwanzi kuonekana kituko wameamua kutafuta kiki kivingine, CCM either wenye akili hawako au wamefunga midomo na mazuzu wanatamalaki na uzuzu wao.

Wamegundua kila wanapopita maswali ni mengi, kampein ya nini? Majibu hawana wakaona jibu ni kununua meya wa ARUSHA! DUUU
 
Meya wa Jiji la Arusha (Chadema), kalisti lazaro leo Novemba 19, 2019 amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi

Amesema amefikia uamuzi huo baada ya kupitia wakati mgumu kutoka kwa uongozi wa chama chake ikiwamo kupokea barua za onyo mara kwa mara ambazo zilimtaka kutokutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali ambao anatakiwa kufanya nao kazi ngazi ya Mkoa na Wilaya na kutompongeza hadharani Rais Dk. John Magufuli.


Kalisti Lazaro amenena kwamba,
"Nimekuwa nikifanya kazi katika mazingira magumu nakutana na changamoto, nimeshletewa barua nyingi za onyo kwa sababu ya kumsifia Rais, lakini pia siwezi kukaa chama ambacho kimejitoa kwenye Uchaguzi, leo Arusha inaenda kuwa ya CCM sababu wenzetu wamejitoa."

"Nitaendelea kuwa Mwanasiasa kwa sababu niwaombe wananchi wa Kata yangu, nitaendelea kuwatumikia kwa nafasi nyingine ambayo chama changu itaamua mimi nirudi"

Pia soma

Another stupidly..!
 
Back
Top Bottom