Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

2025 Kuna watu watalia mpaka watahisi roho zina toka ila Mungu atawaambia hamfi mpaka muwe viroboto maana uchawa hamkufanya vyema...
 
Wacha makapi na ngano viote pamoja mwisho makapi na ngano yatatengwa wasiishie hapo wazunguke nchi nzima hao Chawa we need 2025 iwe darasa kwa chawa na makunguni mpaka viroboto na utitiri..
 
Wacha makapi na ngano viote pamoja mwisho makapi na ngano yatatengwa wasiishie hapo wazunguke nchi nzima hao Chawa we need 2025 iwe darasa kwa chawa na makunguni mpaka viroboto na utitiri..
[emoji1] [emoji1787]
 
Dawa ya chawa ni kuwapulizia dawa (dumu) na wanakufa wote na mara moja...!!

Hata kama waitwe

✓ Kunguni wa Mama Samia... Au

✓ Papasi wa Mama Samia.. Au

✓ Viroboto wa Mama Samia.. Au

✓ Funza wa Mama Samia... Au

✓ Viwavi jeshi wa Mama Samia na majina mengine machafu yote..

It doesn't matter anyhow. Kikubwa ni kuwa hawa wote wana dawa zao za kuwaulia mchana kweupe...
 
Dhana ya uchawa itatudisha nyuma sana kwani ni wapambe ambao wana unazi kwa mtu na kumsifia bila reasoning yoyote ile.
Uchawa unatakiwa ukemewe na kutokomezwa
 
Nihivi mahitaji yetu makubwa wa darl nikumuona mh makonda akiludishwa kwenye kiti chake kama mkuu wa mkowa ili mkowa wetu uwe na amshaamsha

Atutaki maswala ya chawa tunataka wachapa kazi
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakiyanani!!! Ajabu la 9 la dunia linapatikana tz peke ake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cha MUHIMU nikuhakikisha HAUNA Chama SIASA NI MCHEZO MCHAFU NA USIWE MWANASIASA KAMA SIO MUOENGAJI ILA KAMA NI MTU WA POROJO ZENYE TIJA WATU WATAKUWA MINI MARA YA MWISHO KUPIGA KURA ILIKUWA 2015 NA SITASUMBUKA TENA KUPIGA KURA INGAWA NI HAKI YANGU IM OUT
 
Chawa sio viumbe wazuri. Lengo lao nikunyonya damu. Anayejiita chawa aogopwe
 
Jiji la Dar Lilifutwa na JPM na kubaki Jiji la Ilala.
Mbona kuna Jiji la Dar tena?
Halmashauri ya Jiji ipo, set up yake imebadilishwa, kabla Halmashauri ya Jiji la DSM ilikuwa ipo inacover DSM yote pamoja na kila wilaya kuwa na halmashauri yake.
Watawala waliona halmashauri ya Jiji kama inaelea hewani kwani Kwa kuwepo Kwa halmashauri kwenye kila wilaya halmashauri ya Jiji ikawa kama haina kazi.
Hivyo basi ikaamuliwa kwamba eneo la kiutawala la wilaya ya Ilala Halmashauri yake obadilishwe Jina iitwe halmashauri ya Jiji la DSM.
Mwanza napo imefanyika hivyo eneo la kiutawala la wilaya ya Nyamagana halmashauri yake inaitwa halmashauri ya Jiji la Mwanza.
Halmashauri ya Jiji la DSM ipo haijafa iliyokufa ni halmashauri ya manispaa ya Ilala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…