johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.
RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!