mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Kumbe alitandikwa, au umeamua kujiongeza?Wananchi ndiyo wamemtandika amuache meya hausiki na maneno yake ya hovyo ndiyo yamewachefua wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe alitandikwa, au umeamua kujiongeza?Wananchi ndiyo wamemtandika amuache meya hausiki na maneno yake ya hovyo ndiyo yamewachefua wananchi
Amebarazwa hadi sukari imempanda hiyo ni zaidi ya kutandikwaKumbe alitandikwa, au umeamua kujiongeza?
Pamoja na kuwa ni nje ya mada; Je, Serengeti safari hii ni nani? Naona Nyamete naye kakazanawaitara ni mbunge ajaye Tarime vijijini tunampenda wana Tarime asikatishwe tamaa na mtu yeyote.
japo bwire nae analitaka jimbo lakini nafasi bado hana.
Umma upi?Tunajua Chadema mnachukia. Amewaaibisha sana mbele za umma.