Meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomfurusha Mwita Waitara akamatwa na polisi

Meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomfurusha Mwita Waitara akamatwa na polisi

Inaonekana kuna mchuano mkali wa kugombea ubunge kati ya Waitara na Bwire huko kwao.
 
Kuna watu waliwahi kuonya humu CCM ilichokifanya KILIMANJARO kwa MBOWE walipuuzwa humu ndani.... Wengine waliona kabisa hiii inaweza kuwa aina ya siasa itakayotumika mbele ....

Narudia tena CCM tuwe wapole kwa kipindi hiki hii siasa mbovu ilianzia kwetu na itatutafuna sisi wenyewe. Unataka haya hutaki njoo uninyang'anye kadi.
 
Tunakoelekea ya Dr Kleruu yatatokea tena
RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.

RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Sasa waitara anahaha nini wakati ni mbunge wa ukonga, si ajipange kutetea ukonga yake?

Nacheka kimyakimya hapa maana yajayo hata magu kuingilia kati hawezi
 
Huyu meya Hana uzalendo na Ni msaliti,,hukumu ya wasaliti inajulikana....⬇️
 
RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.

RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Bwire ni Chadema eeeenh au ndo nmeanza kutafunana ndaa kwa ndaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom